ligi images

Discover Best ligi Images of World

#food #travel #sports #news #may #friday

🚨 Sua mente precisa ser mais forte que seus sentimentos, caso contrário, vc se perde 🚨 Sabemos q não é fácil controlar nossas emoções, porém, não é impossível. Tudo depende da nossa constância em praticar. Registro de uma viagem maravilhosa para Rio Grande do Sul.. Nesse momento que estão passando, precisamos controlar nossas emoções e Orar muito por eles 🙏 Amem 🙏 #gramadoserragaucha #riograndedosul #riograndedosul #canela #serragaucha #jesús #jesús #ligi #ligiane

5/10/2024, 2:00:00 PM

@djdommy ( JITU ) ameondoka clouds media siku chache baada yaku hamishwa kutoka kipindi cha XXL kwenda kipindi cha JAHAZI. DJ D OMMY ni moja wa wanafamilia ya CLOUDS FM kwa miaka mingi tokea kipindi clouds ina studios mkoani Arusha. #channelxupdates #channelxswahili #football #soccer #mpira #league #ligi #ligikuutanzaniabara #englishpremierleague #epl #bundesliga #laliga #cafchampionsleague #tanzania #yangasc #yanga #simbasc #azamtv #bandalampira #music #nba #nbaafrica #entertainments #celebrity #artist #interview #blackownedbusiness #promo #magazeti #tiktok

5/10/2024, 12:59:58 PM

Rejea tukio la kukataliwa bao dhidi ya Mamelodi 🇿🇦 kisha rudi kwenye mechi dhidi ya Kagera sugar utagundua kuwa Yanga nahodha wake kapoa sana. Mpaka Gamondi anataka kumchapa mwamuzi kutokana na matukio kadhaa yaliyoonesha waamuzi wanainyonga Yanga .. ◉ Kuua shambulizi bila sababu ya msingi, Kukataa goli nk .... Wakati huo wote nahodha Mwamnyeto yeye alikuwa katulia tulii utadhani hakuna kilichotokea .. Nahodha ni kiongozi wa kwanza uwanjani kuitetea timu sio kuvaa kitambaa tu. Mchezaji ninayemuona kwenye matukio mengi kuitetea timu ya Yanga ni KHALID AUCHO. Mpeni kitambaa Aucho au mchezaji mwingine mwenye uthubutu.. Kukaa kimya unapoonewa uwanjani ni kuwaruhusu waamuzi kuendelea kuwaonea, kutetea haki kwa nguvu ni kutengeneza FEAR FACTOR kwa waamuzi hata katika michezo mingine wawe makini. Kama ulitazama mechi ya jana Champions league Real Madrid dhidi ya Bayern Munich utagundua bila wachezaji wa Real Madrid kumshinikiza mwamuzi akaangalie (VAR) goli lao la pili lingekataliwa. 𝗔𝗵𝗺𝗲𝗱 𝗔𝗹𝗹𝘆 : Nimeona andiko reefu la Ahmed Ally akisema Gamondi hafai KUPEWA TUZO ya kocha bora kwa sababu ya tukio hili !!! Kama ingekuwa hivyo basi ZIDANE asingepewa tuzo ya mchezaji bora wa kombe la Dunia 2006 kwa sababu alioneshwa kadi nyekundu siku ya fainali baada ya kumpiga kichwa Marco Materazzi. Sitetei tukio hili ila limechukuliwa kishabiki, Gamondi anastahili adhabu lakini haiondoi ukweli kuwa alikuwa anatetea timu yake baada ya kunyongwa. NB : Mourinho alishaoneshwa red card mara kadhaa na alitwaa tuzo. #sokatanzania #sokaonline #vpl #vplchampions #vplupdates #tumewasha #wasafimedia #soka #1 #michezoonlineupdates #wasafifm #wasafitv #mungu #bongosportsnewsupdates #millardayo #sammisagonews #simbasctanzania #azamsports2 #Msimamo #mandaiallysports #MsimamoWaLigi #AzamSports1HD #VodacomPremierLeague #Ligi Kuu Tanzania Bara #moodewji

5/10/2024, 8:57:32 AM

Movie mpya ya LORD OF THE RINGS iliopewa jina la THE HUNT FOR GOLLUM kutoka 2026. Filamu iyo iliongozwa na muongozaji Andy Serkis ambae ndie alieongoza movie iyo ya awali ame ahidi mengi mazuri kwenye movie hiyo mpya. #channelxupdates #channelxswahili #football #soccer #mpira #league #ligi #ligikuutanzaniabara #englishpremierleague #epl #bundesliga #laliga #cafchampionsleague #tanzania #yangasc #yanga #simbasc #azamtv #bandalampira #music #nba #nbaafrica #entertainments #celebrity #artist #interview #blackownedbusiness #promo #magazeti #tiktok

5/9/2024, 9:22:38 PM

Follow @channelx.swahili Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteua Makamu wa Rais wa Yanga SC @arafat__ah kuwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ). Kabla ya uteuzi huo Arafat alikuwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la Bima la Zanzibar (ZIC). @ikulu_habari @dr.hmwinyi #channelxupdates #channelxswahili #football #soccer #mpira #league #ligi #ligikuutanzaniabara #englishpremierleague #epl #bundesliga #laliga #cafchampionsleague #tanzania #yangasc #yanga #simbasc #azamtv #bandalampira #music #nba #nbaafrica #entertainments #celebrity #artist #interview #blackownedbusiness #promo #magazeti #tiktok

5/9/2024, 6:23:44 PM

#ligi

5/9/2024, 1:48:50 PM

Czas zaplanować weekend 😊🫵🏼 przesuń w bok i sprawdź nasz kalendarz ! Więcej znajdziesz tutaj: https://hastalavista.pl/wydarzenia/ #weekend #ligi #rozkładjazdy

5/9/2024, 9:14:29 AM

NBC PREMIERE LEAGUE ( @nbc_premiere_league ) inaendelea leo ikiwakutanisha mafahali wawili kwenye MZIZIMA DERBY @simbasctanzania pamoja na @azamfcofficial mchezo huu ni zaidi ya derby na hii inatokana na tumu zote mbili kugombania nafasi yakucheza Klabu bingwa Africa msimu ujao. #channelxupdates #channelxswahili #football #soccer #mpira #league #ligi #ligikuutanzaniabara #englishpremierleague #epl #bundesliga #laliga #cafchampionsleague #tanzania #yangasc #yanga #simbasc #azamtv #bandalampira #music #nba #nbaafrica #entertainments #celebrity #artist #interview #blackownedbusiness #promo #magazeti #tiktok

5/9/2024, 8:24:45 AM

Mwimbaji Recho amesema sababu kubwa ya kutomuweka mpenzi wake hadharani ni kuogopa kuibiwa kwa kile alichodai ni mtindo uliyopo Bongo. "Siwezi kumueweka mpenzi wangu hadharani kwa sababu Wabongo ni wezi, wakimuona tu wananza kumsaka mwisho wa siku waniibie, hapana aisee!." amesema Recho. #Msimamo #mandaiallysports #MsimamoWaLigi #AzamSports1HD #Vodacom PremierLeague #Ligi Kuu Tanzania Bara #moodewji #daimambelenyumamwiko #sokaonlineupdates #nguvumoja #simbasc #yangatv #sokatanzania #sokaonline #vpl #vplchampions #vplupdates #tumewasha #wasafimedia #soka #1 #michezoonlineupdates #wasafifm #wasafitv #mungu #bongosportsnewsupdates #millardayo #sammisagonews #simbasctanzania #azamsports2 #Msimamo

5/9/2024, 6:54:43 AM

Mchezaji kinda wa Tanzania 🇹🇿 CYPRIAN KACHWELE anaecheza soka lakulipwa nchini marekani klabu ya VANCOUVER WHITE CAPS rasmi amepandishwa senior team. Huku jana akicheza mechi yake ya kwanza akitokea benchi. Hatua hii inakuja mara baada ya KACHWELE kua na muendelezo mzuri wa ufungaji kila anapo pata nafasi yakucheza. #channelxupdates #channelxswahili #football #soccer #mpira #league #ligi #ligikuutanzaniabara #englishpremierleague #epl #bundesliga #laliga #cafchampionsleague #tanzania #yangasc #yanga #simbasc #azamtv #bandalampira #music #nba #nbaafrica #entertainments #celebrity #artist #interview #blackownedbusiness #promo #magazeti #tiktok

5/8/2024, 9:06:58 PM

Girona FC inamilikiwa na Manchester City Group (47%) na kaka yake Pep Guardiola (16%)! 😲🇪🇸🤝 Kaka yake Pep Guardiola - Pere Guardiola ndiye Mwenyekiti wa Girona. Chini ya City Group & Guardiolas, Girona ilipandishwa daraja hadi Ligi ya Daraja la Kwanza la Uhispania - LA LIGA kwa mara ya kwanza kabisa mwaka 2017. Wametoka kucheza katika ligi ya daraja la 3 hadi kuwania ubingwa wa La Liga Msimu huu! 🤯 Girona itacheza UEFA Champions League msimu ujao kwa mara ya kwanza kabisa! #channelxupdates #channelxswahili #football #soccer #mpira #league #ligi #ligikuutanzaniabara #englishpremierleague #epl #bundesliga #laliga #cafchampionsleague #tanzania #yangasc #yanga #simbasc #azamtv #bandalampira #music #nba #nbaafrica #entertainments #celebrity #artist #interview #blackownedbusiness #promo #magazeti #tiktok

5/8/2024, 9:00:12 PM

Warum kleine Trichter wenn es auch große gibt 😂 Lignano wir sind bereit🔝🍉🇮🇹 #ligi #ligi24 #tuttogas #hudriwudri #andal #party #österreich - #itaka #alkoholundbierkönig #saufen #trichter

5/8/2024, 6:05:59 PM

Viajar com quem amamos é como ter um lar em movimento ♥️ Eu amoo Viajar com meu gatinho ♥️ Um casal precisa ter um tempo de descanso sozinhos♥️e o tanto q faz bem para casamento☺️ #oração #oração #riograndedosul #gramadoserragaucha #jesús #familia #ligi #ligiane #deusnocomando

5/8/2024, 2:00:00 PM

Kinda Mtanzania @jabir_smpanda anaecheza klabu ya vijana (17) ya GATAFE , Madrid nchini Hispania kwa mara ya kwanza ameitwa kuitumikia timu yake ya taifa Tanzania 🇹🇿. Jabiri anaungana na wachezaji wengine wengi makinda ambao wana andaliwa kuelekea michuano ya AFCON 2027. HONGERA @jabir_smpandaa #channelxupdates #channelxswahili #football #soccer #mpira #league #ligi #ligikuutanzaniabara #englishpremierleague #epl #bundesliga #laliga #cafchampionsleague #tanzania #yangasc #yanga #simbasc #azamtv #bandalampira #music #nba #nbaafrica #entertainments #celebrity #artist #interview #blackownedbusiness #promo #magazeti #tiktok

5/8/2024, 9:13:00 AM

Maisha yanabidi yaendelee, Clouds Media Group wamefanya maamuzi magumu yenye tija baada yakuwa chomoa ma presenter nguli BDOZEN & ADAM MCHOMVU kwenye show ( XXL) ambayo waliweka juhudi zao jitihada na ubunifu wao kuifanya kua moja ya show bora za entertainment kwa zaidi ya miongo miwili , na sasa wanakwenda kurithi nafasi ya aliekua CAPTAIN wa kipindi cha jahazi marehemu GARNDER G HAHASH ( @captaintanzania ) . @adamchomvu @bdozen #channelxupdates #channelxswahili #football #soccer #mpira #league #ligi #ligikuutanzaniabara #englishpremierleague #epl #bundesliga #laliga #cafchampionsleague #tanzania #yangasc #yanga #simbasc #azamtv #bandalampira #music #nba #nbaafrica #entertainments #celebrity #artist #interview #blackownedbusiness #promo #magazeti #tiktok

5/8/2024, 8:53:06 AM

Usiku wa jana klabu ya CHELSEA iliandaa tuzo za ndani zikijumuisha klabu ya wanaume na wanawake. Huku mchezaji @colepalmer10 akiibuka mchezaji bora wa mwaka , hii ni baada yakua na mwendelezo mzuri wa magoli na assist tokea alipofika kutokea Manchester City. @colepalmer10 sio mchezaji wakwanza kushinda tuzo hii ikiwa ni msimu wake wa kwanza, Eden Hazard aliwai kufanya hivyo pamoja na Juan Mata. #channelxupdates #channelxswahili #football #soccer #mpira #league #ligi #ligikuutanzaniabara #englishpremierleague #epl #bundesliga #laliga #cafchampionsleague #tanzania #yangasc #yanga #simbasc #azamtv #bandalampira #music #nba #nbaafrica #entertainments #celebrity #artist #interview #blackownedbusiness #promo #magazeti #tiktok

5/8/2024, 6:46:32 AM

Hapo kitambo kidogo, magwij wa Hip Hop Tanzania walikutana na kupiga picha ya pamoja. Kutoka kushoto ni Joh Makini, Fid Q na AY. Je, ipi kazi yao ambayo imekubamba zaidi?. #aluteonlinemedia #michezoonlineupdates #wasafifm #wasafitv #mungu #bongosportsnewsupdates #millardayo #sammisagonews #simbasctanzania #azamsports2 #Msimamo #mandaiallysports #MsimamoWaLigi #AzamSports1HD #VodacomPremierLeague #Ligi Kuu Tanzania Bara #moodewji

5/7/2024, 10:30:08 PM

Staa wa Bongofleva, Jux amefunguka kuwa Mama yake amekuwa akilalamika akitaka mtoto kutoka kwake. Jux ambaye ametoka kuachana na mpenzi wake, Karen Bujulu, amesema mama yake kila mara amekuwa akimwambia anataka mtoto. #vplupdates #tumewasha #wasafimedia #soka #1 #michezoonlineupdates #wasafifm #wasafitv #mungu #bongosportsnewsupdates #millardayo #sammisagonews #simbasctanzania #azamsports2 #Msimamo #mandaiallysports #MsimamoWaLigi #AzamSports1HD #VodacomPremierLeague #Ligi Kuu Tanzania Bara #moodewji

5/7/2024, 10:24:55 PM

Msanii wa Bongofleva, Barnaba (kulia) akiwa na mkwe wake, Mama Kimbo (katikati) na mkewe Raya (kulia). Kufuatia tukio la kusambaa kwa picha zake na Yammi, una lipi la kumshauri Barnaba. #sokaonlineupdates #nguvumoja #simbasc #yangatv #sokatanzania #sokaonline #vpl #vplchampions #vplupdates #tumewasha #wasafimedia #soka #1 #michezoonlineupdates #wasafifm #wasafitv #mungu #bongosportsnewsupdates #millardayo #sammisagonews #simbasctanzania #azamsports2 #Msimamo #mandaiallysports #MsimamoWaLigi #AzamSports1HD #VodacomPremierLeague #Ligi Kuu Tanzania Bara #moodewji

5/7/2024, 9:01:50 PM

Jiji ni Paris, Ufaransa. Mechi ni kati ya wenyeji PSG dhidi ya vijana kutoka Dortmund, Ujerumani, Borussia Dortmund. Hatua ni nusu fainali ya pili ya ligi ya mabingwa barani Ulaya. Mpaka sasa aggregate ni 1-0 faida kwa wageni Borussia Dortmund. PSG wanayo nafasi ya kupindua meza pale kwao lakini haitakuwa rahisi kwasababu ya ubora na form nzuri waliyo nayo Dortmund. Ni Jumanne nyingine busy kwenye soka la Ulaya. Mechi inayoenda kumtanguliza “finalist” mmoja huku mwingine akisubiri kujulikana kesho. Yaani ile “road to Wembley” imeshanoga 🔥 Saa nne kamili za usiku kwa saa za Afrika Mashariki na Kati PSG vs Borussia Dortmund #sokatanzania #sokaonline #vpl #vplchampions #vplupdates #tumewasha #wasafimedia #soka #1 #michezoonlineupdates #wasafifm #wasafitv #mungu #bongosportsnewsupdates #millardayo #sammisagonews #simbasctanzania #azamsports2 #Msimamo #mandaiallysports #MsimamoWaLigi #AzamSports1HD #VodacomPremierLeague #Ligi Kuu Tanzania Bara #moodewji

5/7/2024, 7:57:32 PM

🚨𝙆𝙒𝘼𝙊 𝙐𝙑𝙄𝙑𝙐 𝙉𝙄 𝙈𝙒𝙄𝙆𝙊 ☆Ukimsajili mchezaji kutoka Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo 🇨🇩, huwa haina haja ya kumfundisha namna ya kutia juhudi zake za dhati akiwa ndani ya kiwanja.. ☆Haijalishi anapitia wakati gani ndani ya kiwanja, atakachozingatia zaidi ni kupambania timu yake na kuona inafanya vizuri zaidi.. ☆Leo nimemkumbuka Arsene Zola Kiaku🇨🇩 😭.. Tumeanza kumsahau mpambanaji wa maana kabissa huyu 😢 #aluteonlinemedia #sokatanzania #sokaonline #vpl #vplchampions #vplupdates #tumewasha #wasafimedia #soka #1 #michezoonlineupdates #wasafifm #wasafitv #mungu #bongosportsnewsupdates #millardayo #sammisagonews #simbasctanzania #azamsports2 #Msimamo #mandaiallysports #MsimamoWaLigi #AzamSports1HD #VodacomPremierLeague #Ligi Kuu Tanzania Bara #moodewji

5/7/2024, 12:04:20 PM

@paulboxer33 keep pushing #ligi #ligikuutanzaniabara #ligikuu

5/7/2024, 8:22:42 AM

Kocha wa AL HILAL ya SUDAN 🇸🇩 mkongomani FLORENT IBENGE ( @florent_ibengeofficiel ) ana nafasi ndogo sana kusalia kwenye kikosi hicho, mazungumzo yakumalizana yanaendelea. Taarifa za ndani zinasema tayari kocha huyo amepokea ofa kutoka wekundu wa msimbazi @simbasctanzania wakiitaji huduma yake kama mrithi wa Benchikha #channelxupdates #channelxswahili #football #soccer #mpira #league #ligi #ligikuutanzaniabara #englishpremierleague #epl #bundesliga #laliga #cafchampionsleague #tanzania #yangasc #yanga #simbasc #azamtv #bandalampira #music #nba #nbaafrica #entertainments #celebrity #artist #interview #blackownedbusiness #promo #magazeti #tiktok

5/6/2024, 6:29:01 PM

Jumba la kifahari la Drake la Toronto hivi majuzi liliitwa "Owned By Kendrick" kwenye Ramani za Google, na inaonekana kuwa kazi ya mashabiki wa Kendrick Lamar huku kukiwa na vita vya diss track vinavyoendelea kati ya marapa hao wawili. Ugomvi huo ambao ulianza miaka kadhaa iliyopita, umeongezeka huku wasanii wote wawili wakitoa nyimbo zinazolenga kila mmoja. ✍🏽 @paxpyne #channelxupdates #channelxswahili #football #soccer #mpira #league #ligi #ligikuutanzaniabara #englishpremierleague #epl #bundesliga #laliga #cafchampionsleague #tanzania #yangasc #yanga #simbasc #azamtv #bandalampira #music #nba #nbaafrica #entertainments #celebrity #artist #interview #blackownedbusiness #promo #magazeti #tiktok

5/6/2024, 9:57:14 AM

YANGA ( @yangasc ) wamefikia makubaliano yaku msajili mlinzi wa kushoto mkongomani CHADRACK ISSA BOKA anakipiga katika klabu ya FC LUPOPO ya nchini DRC ( CONGO ). Mchezaji huyo ambae anakuja kuchukua nafasi ya mkongomani mwenzake JOYCE LOMALISA ( waziri wa maji ) anategemewa kutua mwishoni mwa msimu hui. #channelxupdates #channelxswahili #football #soccer #mpira #league #ligi #ligikuutanzaniabara #englishpremierleague #epl #bundesliga #laliga #cafchampionsleague #tanzania #yangasc #yanga #simbasc #azamtv #bandalampira #music #nba #nbaafrica #entertainments #celebrity #artist #interview #blackownedbusiness #malta #magazeti #tiktok

5/6/2024, 9:22:10 AM

Mkurugenzi wa BORRUSIA DORTMUND ( @bvb09 ) Khel amesema watajitaidi wawezavyo kumbakisha JADON SANCHO. Hii ni baada ya mchezaji huo kua na msimu mzuri akiwa na Dortmund. Khel amesema tunafahamu Manchester United wameona kiwango chake kwaio watataka kumuuza kwa faida zaidi ila na sisi tutafanya tutakachoweza ili anendelee kusalia katika klabu yetu. #channelxupdates #channelxswahili #football #soccer #mpira #league #ligi #ligikuutanzaniabara #englishpremierleague #epl #bundesliga #laliga #cafchampionsleague #tanzania #yangasc #yanga #simbasc #azamtv #bandalampira #music #nba #nbaafrica #entertainments #celebrity #artist #interview #blackownedbusiness #malta #magazeti #tiktok

5/6/2024, 7:29:28 AM

Jumamosi usiku (Mei 4), KENDRICK LAMAR aka K. Dot (@kendricklamar ) alidondosha wimbo uliotayarishwa na Mustard kwenye YouTube, na kuashiria diss yake ya nne dhidi ya DRAKE. Kwenye wimbo huu mzito wa "Not Like Us," Lamar anadai Drake na timu yake ya "OV Hoe" ni wanyanyasaji wakingono. Artwork Cover ya wimbo huo unaonyesha mwonekano wa angani wa jumba la kifahari la Drizzy nje ya Toronto, na alama nyekundu za wakosaji wa kingono. Diss track hii inaonekana kufanikiwa zaidi baada yakupata watazamaji million 17.73 ndani ya saa 24. Mashabiki wa Drake ( @champagnepapi ) wamekiri ushindi wa @kendricklamar nakumuombea msamaha Drake. #channelxupdates #channelxswahili #football #soccer #mpira #league #ligi #ligikuutanzaniabara #englishpremierleague #epl #bundesliga #laliga #cafchampionsleague #tanzania #yangasc #yanga #simbasc #azamtv #bandalampira #music #nba #nbaafrica #entertainments #celebrity #artist #interview #blackownedbusiness #malta #magazeti #tiktok

5/6/2024, 7:22:32 AM

#kocaeli #karate #ligi #2024 4 Mayıs 2024 tarihinde düzenlenen Kocaeli Karate Liginde yarışan bütün sporcularımı mücadelelerinden dolayı kutluyorum. 23 şehir, 83 kulüp ve 1566 sporcunun yarıştığı turnuvada #3kupa🏆 #2altın ve #5bronz madalya kazanarak evimize dönüyoruz. İnşallah daha nice başarılar kazanarak yolumuza devam edeceğiz… #Alper Güneş 🥇 🥋14/17 yaş genç bayan #teamkata 🥇🏆 #Berra Sultan Yücel🥇 #Gülnihal Cansaran🥇 #Rabiya Nur Korkutan🥇 #Ahmet Talha Aykaş 🥉 #Ceylin Türker 🥉 #Kerem Güneş 🥉 🥋2011/2012 doğumlu yıldızlar #teamkata 🥉🏆 #Ravzanur Türkmen🥉 #Ecrin Gül🥉 #Kevser Sude Taşkın🥉 🥋14/17 yaş genç erkek #teamkumite 🥉🏆 #Alper Güneş🥉 #Mahmut Arslan🥉

5/5/2024, 12:21:10 PM

Transfer updates🧧 “Hadi sasa sijapokea ofa yoyote kutoka Tanzania,Labda nitajaribu kuwasiliana na uongozi wangu ili kujua kama kuna chochote,Niko tayari kuja Tanzania Kama ofa itakidhi matakwa ya klabu yangu,maana bado Nina mkataba na timu yangu” 🗣️ Aziz Issah: Nyota wa Dreams ya Ghana. Via 📞 Kijana amekuwa na msimu bora 🔥 CAF Confederation: Mechi (10) goli (4) assist (2) Ghana Premier League: Mechi (16) goli (6) assist (2) Pia juzi kafunga goli pekee na kuivusha timu yake kwenda nusu fainali ya FA pale Ghana. Hakika huyu ni pure attacking midfielder 🔥 #AzamSports1HD #Vodacom PremierLeague #Ligi Kuu Tanzania Bara #moodewji #daimambelenyumamwiko #sokaonlineupdates #nguvumoja #simbasc #yangatv #sokatanzania #sokaonline #vpl #vplchampions #vplupdates #tumewasha #wasafimedia #soka #1 #michezoonlineupdates #wasafifm #wasafitv #mungu #bongosportsnewsupdates #millardayo #sammisagonews #simbasctanzania #azamsports2 #Msimamo #mandaiallysports

5/4/2024, 3:22:29 PM

Askofu Mkuu wa Kanisa la Calvary Assemblies of God Mtume Dkt. Dunstan Maboya akiambatana na viongozi wengine wa kanisa hilo wameongoza maombi maalum ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda, na kuwatakia mafanikio mema kwenye kuwatumikia wananchi Askofu Dkt. Dunstan Maboya amefika kwenye ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha akiambatana na Mchungaji Daniel Safari na Nabii Joshua Alamu ambaye ni Rais wa Baraza la Mitume na Manabii nchini Tanzania Viongozi hao wa kiimani wakiongozwa na Askofu Maboya wameiombea pia mihimili yote ya nchi kwa maana ya Bunge, Mahakama na Serikali na kuwataka kutenda haki katika kuwatumikia Watanzania Aidha Baba Askofu Dunstan Maboya ametumia fursa hiyo kumualika Makonda kwenye tamasha kubwa la muziki wa injili linalotarajiwa kufanyika Juni 02.2024 jijini Arusha likitanguliwa na kongamano la dini linalotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi Mei mwaka huu (2024) #AzamSports1HD #Vodacom PremierLeague #Ligi Kuu Tanzania Bara #moodewji #daimambelenyumamwiko #sokaonlineupdates #nguvumoja #simbasc #yangatv #sokatanzania #sokaonline #vpl #vplchampions #vplupdates #tumewasha #wasafimedia #soka #1 #michezoonlineupdates #wasafifm #wasafitv #mungu #bongosportsnewsupdates #millardayo #sammisagonews #simbasctanzania #azam

5/4/2024, 12:13:42 PM

Vamos ajudar nossos irmãos que passam por essa triste tragédia. Quem puder fazer a sua parte, se não puder ajudar com nenhuma quantia compartilhe essa mensagem, você estará fazendo muito! Que o nosso grandioso Deus dê forças aos nossos irmãos do Rio Grande do Sul e aqui faremos o melhor para ajuda-los! #ajuda #ajude #colabores #arrecadação #riograndedosul #rs #deus #ajude #povo #primaverense #ligi #ligialmeida

5/3/2024, 9:24:30 PM

Embe Ligi 👧🏻 #Ligi #15m21d

5/3/2024, 10:53:47 AM

#LIGI KUU Wachezaji wa Timu ya Simba Sc wakifanya mazoezi kujiandaa na mechi dhidi ya Timu ya Mtibwa hapo kesho Ijumaa May 3, 2024 katika dimba la Azam Complex, Chamazi jijini Dar es Salaam majira ya saa 10:0 jioni. #Endelea kubali na sisi @daraja_michezo #SisiNidaraja

5/2/2024, 7:51:07 PM

Afisa habari wa klabu ya @yangasc Ally Kamwe amesema wamepokea ofa mbalimbali zikitaka huduma ya mchezaji wao CLEMENT MZIZE ( @clementinho49 ) . Amesema timu mbalimbali kutokea barani Ulaya, Urusi & Israel zote zikiitaji huduma ya mshambuliaji huyo kinda. #channelxupdates #channelxswahili #football #soccer #mpira #league #ligi #ligikuutanzaniabara #englishpremierleague #epl #bundesliga #laliga #cafchampionsleague #tanzania #yangasc #yanga #simbasc #azamtv #bandalampira #music #nba #nbaafrica #entertainments #celebrity #artist #interview #blackownedbusiness #malta #magazeti #tiktok

5/2/2024, 7:16:39 PM

Klabu ya INTER MILLAN imesherekea ubingwa wake wa 20 kwenye jiji la Millan. Sherehe hizo zilipelekea barabara zote za kuingi mji huo kufungwa kwa zaidi ya masaa 24. #channelxupdates #channelxswahili #football #soccer #mpira #league #ligi #ligikuutanzaniabara #englishpremierleague #epl #bundesliga #laliga #cafchampionsleague #tanzania #yangasc #yanga #simbasc #azamtv #bandalampira #music #nba #nbaafrica #entertainments #celebrity #artist #interview #blackownedbusiness #malta #magazeti #tiktok

5/2/2024, 7:09:25 PM

Cc. @channelx.swahili Moja kati ya Directors wakubwa Nchini, Director Khalfan khalmandro @khalfani_Khalimandro amelazwa Muhimbili kitengo cha MOI akiwa na tatizo la Damu kuvilia kwenye ubongo na kumsababisha Kiharusi upande wake wa kulia. Kwa sasa hawezi kuongea wala kula, kama mwanasanaa na Jamii Familia inaomba sana mchango wako kufanikisha matibabu yake, unaweza kuchangia kwa chochote kupitia namba 0687303673 Jina Mohamed hamdouny Rashid. Khalfani ameshiriki video nyingi za Wasanii na kampeni za miradi mbalimbali ikiwemo kampeni ya Zanzibar Heroes iliyomhusisha Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi. Clouds Media Group inamuombea Director Khalfani Mungu amsaidie arudi kwenye afya yake kama awali. #channelxupdates #channelxswahili #football #soccer #mpira #league #ligi #ligikuutanzaniabara #englishpremierleague #epl #bundesliga #laliga #cafchampionsleague #tanzania #yangasc #yanga #simbasc #azamtv #bandalampira #music #nba #nbaafrica #entertainments #celebrity #artist #interview #blackownedbusiness #malta #magazeti #tiktok

5/2/2024, 6:50:53 PM

...🚨Kwenye hii orodha Ya Wachezaji hatari kufunga magoli ndani Ya box Simba sc bado wanawakilishwa na baleke🙌 ...✍️Alietoa ushauri simba sc wamuache baleke alaaniwe kabisa..!!.!🤣 #sammisagonews #simbasctanzania #azamsports2 #Msimamo #mandaiallysports #MsimamoWaLigi #AzamSports1HD #Vodacom PremierLeague #Ligi Kuu Tanzania Bara #moodewji #daimambelenyumamwiko #sokaonlineupdates #nguvumoja #simbasc #yangatv #sokatanzania #sokaonline #vpl #vplchampions #vplupdates #tumewasha #wasafimedia #soka #1 #michezoonlineupdates #wasafifm #wasafitv #mungu #bongosportsnewsupdates #millard

5/2/2024, 1:46:31 PM

📝Pichani ni mzee Wilfred Mbappe akiwa na vijana wake wawili Kylian Mbappe na Ethan Mbappe. Unaambiwa mzee Wilfred ni raia wa Cameroon aliyehamia Ufaransa katika harakati za kutafuta maisha na kuoa huko. Wakati Kylian Mbappe akiwa anaanza kuibuka kwenye soka kwenye ngazi ya chini baba yake huyu alimuombea kwenye shirikisho la soka la Cameroon(FACAFOOT) ili aweze kuchezea timu ya taifa ya Cameroon ila kutokana na rushwa iliyokithiri nchini kwao Cameroon shirikisho hilo lilimwambia ili mwanae apate nafasi anatakiwa atoe rushwa ya maana (bahasha yenye mzigo wa maana) Mzee Mbappe alikasirika mno kwasababu mtoto wake kuchezea timu ya taifa la Cameroon lengo ilikuwa uzalendo tu hatimaye akaamua kumchukulia uraia rasmi wa Ufaransa ambapo miaka michache mbeleni alikuja kuwa staa wa dunia na sasa Ufaransa wamempa kabisa unahodha wa timu ya taifa hilo. Kylian Mbappe kuanzia hapo hataki tena kutambuliwa kama mcameroon kwa namna yoyote anasema yeye ni Mfaransa daima. Sorce BobbySports #SautiHurubongosportsnewsupdates #millardayo #sammisagonews #simbasctanzania #azamsports2 #Msimamo #mandaiallysports #MsimamoWaLigi #AzamSports1HD #Vodacom PremierLeague #Ligi Kuu Tanzania Bara #moodewji #daimambelenyumamwiko #sokaonlineupdates #nguvumoja #simbasc #yangatv #sokatanzania #sokaonline #vpl #vplchampions #vplupdates #tumewasha #wasafimedia #soka #1 #michezoonlineupdates #wasafifm #wasafitv #mungu

5/2/2024, 11:59:45 AM

CHE MALONE ANASTAHILI TUZO YA BEKI BORA NBC PREMIER LEAGUE "Nafikiri Che Malone anastahili kuwania tuzo ya beki bora kutokana na kiwango ambacho amekionyesha msimu huu akiwa na Simba mtu ambaye anaweza kumchalenge ni bacca peke yake lakini wengine wote anawafunika." #sokamagicupdates #AzamSports1HD #Vodacom PremierLeague #Ligi Kuu Tanzania Bara #moodewji #daimambelenyumamwiko #sokaonlineupdates #nguvumoja #simbasc #yangatv #sokatanzania #sokaonline #vpl #vplchampions #vplupdates #tumewasha #wasafimedia #soka #1 #michezoonlineupdates #wasafifm #wasafitv #mungu #bongosportsnewsupdates #millardayo #sammisagonews #simbasctanzania #azamsports2 #Msimamo #AzamSports1HD #vodacompremierleague

5/2/2024, 11:54:30 AM

Lignano 2024 wer is ois dabei? 🍉🇦🇹❤️ #ligi #tuttogas #hudriwudri #andal #party #östtereich #itaka #italien Handalofficial #alkoholundbierkönig

5/1/2024, 7:13:58 PM

DKT MPANGO MGENI RASMI MEI MOSI Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango ndiye Mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Sikukuu ya wafanyakazi Duniani leo 01 Mei 2024. Dkt. Mpango tayari amewasili katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha. #channelxupdates #channelxswahili #football #soccer #mpira #league #ligi #ligikuutanzaniabara #englishpremierleague #epl #bundesliga #laliga #cafchampionsleague #tanzania #yangasc #yanga #simbasc #azamtv #bandalampira #music #nba #nbaafrica #entertainments #celebrity #artist #interview #blackownedbusiness #malta #magazeti #tiktok

5/1/2024, 3:32:39 PM

...🚨REKODI NYINGINE NBC (ligi kuu). Klab ya Singida Fountain Fate Imejizolea Umaarufu baada ya kuwa klab yenye namba kubwa ya Makocha waliyoifundisha Mpaka sasa, Msimu huu tu ambao Umesaliwa na Michezo 7/8 imeshafunshindwa na Makocha 6 , Kwenye Msimamo wa NBC wapo nafasi ya 11 kati ya Vilabu 16 Makocha hao ni:- 👉Hans Van Pluijm 👉Heron Ferreira 👉Ernst Middendorp 👉Thabo Senong 👉Jamuhuri Kihwelu 'Julio' 👉Ngawina Ngawina 🤦Makocha wa kigeni 4 🤦Wazawa 2 Mpaka Mwisho wa Msimu itakuwaje wajuba ....?!!! #𝗗𝘂𝗸𝗲𝘂𝗽𝗱𝗮𝘁𝗲𝘀 #vplupdates #tumewasha #wasafimedia #soka #1 #michezoonlineupdates #wasafifm #wasafitv #mungu #bongosportsnewsupdates #millardayo #sammisagonews #simbasctanzania #azamsports2 #Msimamo #mandaiallysports #MsimamoWaLigi #AzamSports1HD #VodacomPremierLeague #Ligi Kuu Tanzania Bara #moodewji

5/1/2024, 11:46:30 AM

🚨Kocha wa viungo wa Simba sc amemwambia, daktari wa timu kuwa hii ni mechi yangu ya mwisho kuwa hapa, kumbuka nilivyokuambia kuhusu namna ya kutibu wachezaji Maamuzi ya Kocha benchika na benchi lake la ufundi yamefikiwa leo kabla ya mechi ya Fainal dhidi ya Azam Hakuna ushawishi wowote kutoka kwa Mo dewji wala Bodi ambao utaweza kubadili maamuzi hayo. Kwa sasa kinachosubiliwa ni taarifa kutolewa kwa Umma kuhusu maamuzi hayo, kumbuka maamuzi yameshakwisha malizika. #𝗗𝘂𝗸𝗲𝘂𝗽𝗱𝗮𝘁𝗲𝘀 #sokaplaceupdates #michezoonlineupdates #wasafifm #wasafitv #mungu #bongosportsnewsupdates #millardayo #sammisagonews #simbasctanzania #azamsports2 #Msimamo #mandaiallysports #MsimamoWaLigi #AzamSports1HD #VodacomPremierLeague #Ligi Kuu Tanzania Bara #moodewji

5/1/2024, 11:32:43 AM