vplupdates images

Discover Best vplupdates Images of World

#food #travel #sports #news #may #monday

-Inaelezwa kuwa kipa wa Simba, Ayoub Lakred huenda akasepa ndani ya kikosi cha Simba baada ya msimu wa 2023/24 kugota mwisho kwa kuwa ana ofa zaidi ya mbili mkononi mwake

5/20/2024, 8:18:31 PM

UONGOZI wa Ihefu umeweka wazi kushtushwa na taarifa zinazosambaa zikimhusu aliyekuwa nyota wa zamani wa Simba, Mmalawi, Peter Banda za kudai kusainishwa mkataba na timu hiyo kisha kutolipwa fedha za usajili. . Banda aliyewahi kuichezea Simba kwa misimu miwili kuanzia mwaka 2021 hadi 2023 kisha kurudi Nyassa Big Bullets ya kwao Malawi, alidai alisainishwa na Ihefu mkataba kipindi cha dirisha dogo msimu huu ingawa hakulipwa pesa zake za usajili. . Nyota huyo wakati anazungumza na gazeti la National la Malawi alisema, aliletewa mkataba na tiketi ya ndege ya kuja hapa Tanzania ila hawakumwingizia chochote kwani amekaa muda mrefu na hakusaini timu nyingine kwa sababu alikuwa na mkataba nao. . Baada ya madai hayo, Arena tulimtafuta Mtendaji Mkuu wa Ihefu, Olebile Sikwane aliyeweka wazi hata yeye ameshtushwa na taarifa za nyota huyo, kwani hawakuwahi kumsajili na wachezaji wote waliowasajili wako nao kikosini mwao. “Ndugu yangu kwa sasa niko Saudi Arabia, lakini kuhusu hizo taarifa nimeziona na zimenisikitisha kwa kweli, kutokana na majukumu tuliyokuwa nayo kwa sasa muda ukifika tutaweka wazi juu ya hilo ila nikuhakikishie hatujamsajili.” alisema. Usiache kutufollow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz ....................................................... #michezo #diamondplatnumz #millardayoupdates #simbasc #wasafimedia #yangasc #simba #updates #udaku #mitindo #sammisagonews #habari #globalpublishers #globaltvonline #bongo #dizzimupdates #burnaboygram #wizkidayo #wazazi #azamnews #mwanaspotiupdates #rickmedia #simulizinasaut #vplupdates #wasafitv #sisinisoka #azamtvupdates #mwananchiupdates #davido

5/20/2024, 4:23:08 PM

Mlinzi wa Simba Sc Henock Inonga Baka Varane ameitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Congo 🇨🇩 kitakachoingia kambini kujiandaa na Michezo miwili ya kufuzu kombe la dunia Michezo hiyo ni dhidi ya Senegal 🇸🇳 na Togo 🇹🇬 #mzeewakibendera

5/20/2024, 2:19:37 PM

@amanzi.kimonjo ubingwa mmechukua mimi Ole nimewakosea nini mbona @philfoden kaniita mara mbili uko 😂😀😂 #mzeewakibendera

5/20/2024, 2:05:06 PM

Taarifa ipi imekuvutia kati ya hizo ? #mzeewakibendera

5/20/2024, 1:34:24 PM

FEI TOTO: KWA SASA NIPO TAYARI KWENDA KLABU YOYOTE INAYONIHITAJI “Kwa sasa nina mkataba na Azam FC, lakini hakuna klabu inayozuiwa kwenda kwa uongozi wa klabu yangu kama inanihitaji na mimi nitakuwa tayari kama klabu zikikubaliana." -Feisal Salum, Mchezaji kinara wa Azam FC. Usiache kutufollow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz ....................................................... #michezo #diamondplatnumz #millardayoupdates #simbasc #wasafimedia #yangasc #simba #updates #udaku #mitindo #sammisagonews #habari #globalpublishers #globaltvonline #bongo #dizzimupdates #burnaboygram #wizkidayo #wazazi #azamnews #mwanaspotiupdates #rickmedia #simulizinasaut #vplupdates #wasafitv #sisinisoka #azamtvupdates #mwananchiupdates #davido

5/20/2024, 12:37:24 PM

-Klabu ya Yanga SC ambao ndio mabingwa wa ligi kuu watakabidhiwa kombe la ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC 2023/24 siku ya Mei 25, 2025 kwenye mechi yao dhidi ya Tabora United itakayochezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. #AzamTVSports #YangaSC #NBCPL

5/20/2024, 12:25:48 PM

“Hiki kiingilio cha Sh. Elfu Moja (Buku) kitakuwa katika Mzunguko na tumeona tufanye hivi ili kuvutia watu wetu “ Ali Kamwe Usiache kutufollow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz ....................................................... #michezo #diamondplatnumz #millardayoupdates #simbasc #wasafimedia #yangasc #simba #updates #udaku #mitindo #sammisagonews #habari #globalpublishers #globaltvonline #bongo #dizzimupdates #burnaboygram #wizkidayo #wazazi #azamnews #mwanaspotiupdates #rickmedia #simulizinasaut #vplupdates #wasafitv #sisinisoka #azamtvupdates #mwananchiupdates #davido

5/20/2024, 12:10:54 PM

Walikuja kujifunza sasa naona wamemaliza masomo wamerejea kule walipozoa kuishi wanakwenda kuendeleza kazi zao uko Championship #mzeewakibendera

5/19/2024, 9:02:43 PM

Kuna watu wanabiga kelele alafu UEFA champions wala Europa league hawapo msimu ujao..😁 #mzeewakibendera

5/19/2024, 8:28:58 PM

#EPL Unaambiwa Mtendaji Mkuu wa Ligi ya EPL Richard Masters yuko kwenye Uwanja wa Emirates (Uwanja wa Arsenal) kwenye mechi ya Arsenal dhidi ya Everton. Richard Masters alipohojiwa na waandishi wa habari kwanini yupo kwenye uwanja wa Arsenal na sio wa Man City akajibu kuwa hiyo inatokana na sababu 115. Ikumbukwe kuwa Manchester City wanashtakiwa kwa ukiukaji wa sheria 115 za Financial Fair Play za Ligi hiyo, na mpaka hii leo adhabu bado haijatolewa kwa Man City. Hivyo inaelezwa kuwa huenda leo Man City wakapokonywa point kutokana na makosa hayo ya kukiuka sheria 115 za Financial Fair Play. Kwa hizi dalili unadhani ubingwa unaenda wapi leo?🤷 Usiache kutufollow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz ....................................................... #michezo #diamondplatnumz #millardayoupdates #simbasc #wasafimedia #yangasc #simba #updates #udaku #mitindo #sammisagonews #habari #globalpublishers #globaltvonline #bongo #dizzimupdates #burnaboygram #wizkidayo #wazazi #azamnews #mwanaspotiupdates #rickmedia #simulizinasaut #vplupdates #wasafitv #sisinisoka #azamtvupdates #mwananchiupdates #davido

5/19/2024, 6:47:48 PM

IHEFU wana Wachezaji bora sana wa Kimataifa ambao kwenye hii Ligi yetu wanazima timu nyingi tu, cream yao ya Internationals ni super mnooo! Unaweza usihangaike sana kwenda nje, unaenda tu pale kwao unapata saini mbili mpaka tatu za maana tu, wana quality Jamaa basi tu football sometimes una matusi yake. Yanga anapitia magumu hapa, bonge moja la game😀🙌! Hii ni quality ya fainali. Usiache kutufollow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz ....................................................... #michezo #diamondplatnumz #millardayoupdates #simbasc #wasafimedia #yangasc #simba #updates #udaku #mitindo #sammisagonews #habari #globalpublishers #globaltvonline #bongo #dizzimupdates #burnaboygram #wizkidayo #wazazi #azamnews #mwanaspotiupdates #rickmedia #simulizinasaut #vplupdates #wasafitv #sisinisoka #azamtvupdates #mwananchiupdates #davido

5/19/2024, 6:41:27 PM

Boli limetembea sana leo.. #mzeewakibendera

5/19/2024, 6:04:13 PM

Mzuri kwenye matumizi ya mipira iliyokufa ✅ Mzuri kwenye open play(ujenzi)✅ Uwezo wa kukaa na mpira ✅ Uwezo wa kupiga mbali ✅ Uwezo wa kutembea na mpira ✅ Utulivu,kasi, akili akiwa na mpira ✅

5/19/2024, 4:28:38 PM

Najua kuna watu watakataaa ila fresh 😎 #mzeewakibendera

5/19/2024, 3:35:43 PM

Kazi inaendelea mechi inakila kitu Ufundi..kasi ..matumizi ya nguvu.. #mzeewakibendera

5/19/2024, 3:29:36 PM

Manchester City wao wameshinda tuzo ila Chelsea wao wameshinda taji kupanga ni kuchagua... #mzeewakibendera

5/19/2024, 12:40:02 PM

#EKsports || Klabu ya Yanga itashuka dimbani hii leo majira ya saa tisa [9] kukipiga dhidi ya Ihefu kwenye mchezo wa kusaka tiketi ya kuelekea fainali ya kombe la TFF (CRDB Federation Cup) Leo chini ya Master Gamondi itaenda kujaribu bahati ya kufika fainali ya Shirikisho kwa mara ya kwanza pale Arusha unadhani matokeo ya mwisho yatakuwaje ___________? Usiache kutufollow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz ....................................................... #michezo #diamondplatnumz #millardayoupdates #simbasc #wasafimedia #yangasc #simba #updates #udaku #mitindo #sammisagonews #habari #globalpublishers #globaltvonline #bongo #dizzimupdates #burnaboygram #wizkidayo #wazazi #azamnews #mwanaspotiupdates #rickmedia #simulizinasaut #vplupdates #wasafitv #sisinisoka #azamtvupdates #mwananchiupdates #davido

5/19/2024, 11:55:50 AM

Leo nimeota Arsenal kashinda Manchester City katoka sare Embu ngoja niendelee kulala kwanza 😁😂 Arsenal bingwa #mzeewakibendera

5/19/2024, 10:13:25 AM

Bado hajaonyesha makali yake mpaka sasa katika kikosi cha Young Africans tangu atue dirisha dogo mambo yamekuwa magumu kwake Tuendelee kumpa muda au ? Je Simba walikosea kumuacha ? Au Young Africans ndo wamekosea kumrejesha ?.. #mzeewakibendera

5/19/2024, 9:24:38 AM

TETESI | Baada ya kuwepo kwa uvumi juu ya Lomalisa kuwindwa na baadhi ya Klabu za hapa nyumbani ,rasmi Klabu ya RS Berkane ya Morocco imetuma ofa kwa @lomaliisa4 kuhitaji huduma ya beki huyo wa kushoto . NB : Mazungumzo juu ya ofa hiyo kati ya Berkane na lomalisa bado yanaendelea Stay here 🔄 @ray_sports_tz Usiache kutufollow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz ....................................................... #michezo #diamondplatnumz #millardayoupdates #simbasc #wasafimedia #yangasc #simba #updates #udaku #mitindo #sammisagonews #habari #globalpublishers #globaltvonline #bongo #dizzimupdates #burnaboygram #wizkidayo #wazazi #azamnews #mwanaspotiupdates #rickmedia #simulizinasaut #vplupdates #wasafitv #sisinisoka #azamtvupdates #mwananchiupdates #davido

5/18/2024, 8:45:12 PM

Katika ushindi wa magoli 3-0 @feisal194 kafunga goli moja yani mwamba anafunga nje ndani yani kwenye ligi na CRDB 😀 #mzeewakibendera

5/18/2024, 4:52:04 PM

Basi na ubingwa chukueni tu.. #mzeewakibendera

5/18/2024, 2:34:20 PM

Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp amefunga Ukurasa wa Instagram leo baada ya kukaa kwa muda mrefu bila kutumia mtandao wa Instagram baada tu ya kufungua katumia dakika 45 tu kufikisha wafuasia [followers} laki 429 🙌 Klopp kaposti video moja tu akiwa anawaaga mashabiki na viongozi wa Liverpool kumbuka ataondoka mwishoni mwa msimh huu. We followers ulionao umetumia muda gani kuwapata ? #mzeewakibendera

5/18/2024, 1:56:56 PM

Mlinzi wa west Ham Vladimir Coufal ameshea ujumbe wake aliotumiwa na moja ya mdau DM ya kupata chai (coffee) ya bure katika maisha yake yote kama atafanikiwa kuizuia Manchester City na kutoka sare siku ya kesho " kaka tunaomba sare tu dhidi City kwajili yetu, utapata chai {coffee} ya bure katika maisha yako yote. Kama mkitoka sare ❤." Mdau "Mimi nataka kushinda kabisa wewe unaomba sare 😂😂😂." Maneno ya Coufal #mzeewakibendera

5/18/2024, 1:24:09 PM

MVP huyu apa.. #mzeewakibendera

5/18/2024, 12:46:57 PM

⛳Huenda Sherehe za Ubingwa wa 30 wa Yanga zikafanyika katika Uwanja wa Mkapa, Yanga Wanataka kufanya sherehe kubwa zaidi ambayo wanataka kila mwanayanga aufurahie ubingwa wao wa 30, wasanii wakubwa watatumbuiza pia katika hiyo siku.🔰 Usiache kutufollow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz ....................................................... #michezo #diamondplatnumz #millardayoupdates #simbasc #wasafimedia #yangasc #simba #updates #udaku #mitindo #sammisagonews #habari #globalpublishers #globaltvonline #bongo #dizzimupdates #burnaboygram #wizkidayo #wazazi #azamnews #mwanaspotiupdates #rickmedia #simulizinasaut #vplupdates #wasafitv #sisinisoka #azamtvupdates #mwananchiupdates #davido

5/18/2024, 10:45:46 AM

Jumamosi hii ya May 18/2024 kutakuwa na pambano la Tale of the Tape (hadithi ya mkanda) kwenye uwanja wa Kingdom Arena, Riyadh Saudia Arabia Tyson Fury atapanda ulingoni dhidi ya Oleksandr Usyk kwenye usiku wa Hadithi ya Mkanda UNDISPUTED HEAVYWEIGHT WORLD CHAMPIONSHIP Tyson Fury ,,,,, Urefu 6'9 Uzito 262 Lbs Umri 35 Ushindi 34 Sare 1 Kapoteza 0 Oleksandr Usyk,,,,,, Urefu 6'3 Uzito 233 Lbs Umri 37 Ushindi 21 Sare 0 Kupoteza 0 Fury anatokea Machester united kingdom wakati Oleksandr akitokea Kiev Ukraine Upo upande wa nani wewe ? @bongo_fmtz @cheyolutenganotz

5/18/2024, 6:57:01 AM

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtandanl ametekeleza Ahadi yake kwa ya kuwapa Biashara United ya Mkoa wa Mara Tshs 10M wajiandae kwajili ya Playoffs, kama alivyoahidi wakati huo akiwa mkuu wa Mkoa Mara Said Mtanda kabla hajateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara na mlezi wa Biashara United. #mzeewakibendera

5/17/2024, 8:46:18 PM

Amekuvutia leo au tuendelee kusubiri? #mzeewakibendera

5/17/2024, 7:57:40 PM

Francis alijichinja mwenyewe kucheza na safu ya ulinzi isiyo na basics za kiulinzi O1. phisical attributs kwa mana ya uwezo kimwili Nguvu ,kasi na uwezo wa kuluka 02.Techinical skills (uwezo kiufundi) kwa mana ya ball control ,Tackling na passing uwezo wa kupiga pasi 03. Tactical understanding (uwezo wa kuelewa mbinu) kwa mana ya position (kujipanga) na covering kwa mana ya kuziba maeneo ama mianya Hapo Agustino Msata + Joram Ngeveke walikuwa unga mno ilikuwa bahati kucheza na Simba yenye washambuliaji wasio hatari Fredy na Job kwa nyakati tofauti tofauti . Kuna swali la kujiuliza hapa ? Fredy Michael alikuja na goli 14 kwenye michezo 18 aliyo icheza kwenye ligi ya Zambia akiwa na Green Eagles akiiacha timu ikiwa nafasi ya 4 kabla ya kuja Tanzania Akiwa na Simba kwa sasa amecheza michezo 16 kwenye dakika 938 amefunga magoli 6 jiulize mwenyewe Dododa Jiji kwenye michezo 8 waliokutana na Simba michezo 6 dhidi ya Simba hivi karibuni hawaja pata ushindi wala kufunga goli lolote sio nyumbani wala ugenini nini shida ? Na sasa wamesalia na michezo 3 pekee dhidi ya Young Africans nyumbani na ugenini dhidi ya Ihefu na Mashujaa wakiwa kwenye sehemu hatari ya kushuka daraja je watatoboa? Hussein Abel anaendeleza utamaduni wa Simba kwenye eneo la magolikipa aliwahi kupita Manyika, Kaseja Juma,Ivo mapunda,Manura na wengine ni kawaida kwao kupata walinda milango wenye hadhi ya kimataifa . Next stop Vs Young Africans wakicheza kama leo watakula za kutosha .

5/17/2024, 5:04:50 PM

Kizumbi ni winga mzuri ila sio kwamba ligi yetu haina mawinga wazuri kama yeye au kumzidi nimewataja hao wawili kama mfano tu ila wapo wachezaji wa maana tu kwenye hiyo position ya winga.. #mzeewakibendera

5/17/2024, 1:38:34 PM

Golikipa wa Arsenal kashinda tuzo ya kipa bora wa Epl msimu huu akiwa na clean sheets 16 #mzeewakibendera

5/17/2024, 1:29:26 PM

Mshambuliaji wa Tanzania Prisons Samson Mbangula anasema anajishangaa kwa siku za karibuni kutofunga tangu alipoiduwaza Simba Sc kwa bao mbili alizoshinda kwenye mchezo uliomalizika kwa ushindi wa bao 2-1 mzunguko wa pili ligi kuu NBC huko mkoani Mbeya. Mbangula anakiri kwa sasa kiwango chake kimeshuka jambo linallomueka kwenye ukame wa magoli kwa muda mrefu, lakini anaendelea kupambana na hajakata tamaa badala yake anajifua kuhakikisha michezo mitatu iliyobaki anaongeza idadi ya magoli. Kocha mkuu wa timu hiyo, Ahmad Ally alisema kwa sasa wanajiandaa namchezo ujao dhidi ya Mashujaa Fc utaokachezwa Mei 20, ambao ni muhimu sana kwao kuvuna pointi 3. Usiache kutufollow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz ....................................................... #michezo #diamondplatnumz #millardayoupdates #simbasc #wasafimedia #yangasc #simba #updates #udaku #mitindo #sammisagonews #habari #globalpublishers #globaltvonline #bongo #dizzimupdates #burnaboygram #wizkidayo #wazazi #azamnews #mwanaspotiupdates #rickmedia #simulizinasaut #vplupdates #wasafitv #sisinisoka #azamtvupdates #mwananchiupdates #davido

5/17/2024, 12:00:24 PM

#Sports360. Dodoma Jiji kwenye ligi wapo nafasi ya 12 na alama 30 ni alama 4 pekee kuangukia kwenye mstari wa kushuka daraja ilihali amesalia na michezo migumu nyumbani licha ya kuwa na mchezo mmoja mkononi ⛳Simba ⛳Young Africans Ugenini Dodoma Jiji wao watacheza na ⛳Ihefu ⛳Mashuja Bahati mbaya Dodoma Jiji wakiwa ugenini wamekusanya alama chache mno 9 katika michezo 13 wakishinda michezo 2 na kupoteza 8 ni miongoni mwa timu mbili zilizo poteza alama nyingi ugenini Katika michezo mitano (5) ya ligi iliyopita Dodoma Jiji wamepata sare 3 za bila kufungana ushindi mara moja (1) wa Clean-sheets wamepoteza mchezo mmoja pekee Kwa mana hiyo Dodoma Jiji hawajaruhusu goli lao kutikiswa kwenye michezo 4 kati ya mitano (5) wakiruhusu goli 1 wakati wao wakifunga goli 3 Kwa upande wa Simba wao kwenye michezo mitano (5) ya hivi karibuni wameshinda mara tatu (3) kwa Clean-sheets wakivuna sare 2 za magoli kwa mana ya kuwa wameruhusu magoli 3 wakati wao wakifunga magoli 10 Kwenye michezo walio kutano wao kwa wao (head to head) tangu Feb 4 ,2021 wamecheza michezo nane (8) Katika hiyo michezo Simba Sc wameshinda michezo yote 8 na katika hiyo mitano (5) ya mwisho Simba wameshinda kwa Clean-sheets Mana yangu ni nini ? Dodoma Jiji uwezekano wa kupata alama 3 kwa Simba ni mdogo ila wanaweza kupata walau alama 1 kutokana na matokeo yao ya hivi karibuni ya ligi

5/17/2024, 11:20:42 AM

#usajili Baada ya klabu ya Simba Sc kuikosa saini ya aliekuwa mchezaji wa Singida Fountain Gate Fc Marouf Tchakei katika dirisha dogo na kutimkia Ihefu Fc sasa klabu hiyo imeanza harakati za kuwania saini yake tena kuelekea dirisha kubwa la usajili Simba bado wanaamini wanaweza kupata huduma ya kiungo huyo anaemudu kucheza nafasi zaidi ya nne uwanjani kama winga wa kushoto na kulia lakini pia kama kiungo mshambuliaji na kiungo wa chini #mzeewakibendera

5/17/2024, 11:07:19 AM

Watu naendelea kusafisha vikosi vyao kuelekea msimu ujao wa 2024-2025 #mzeewakibendera

5/17/2024, 10:56:29 AM

🚨 TETESI: Taarifa ilizozipata Arena ni kwamba, Klabu ya Yanga kwa muda mrefu wanamfukuzia winga fundi, Philippe Kinzumbi, na TP Mazembe wamekubali kumuachia kwa sharti la wao kupewa Kennedy Musonda. . “Inavyoonekana makubaliano hayo yatafikia pazuri na msimu ujao mkamuona Kinzumbi akiwa na jezi ya Yanga,” kilidokeza chanzo chetu ndani ya Yanga. TP Mazembe wameona ndani ya Yanga kuna mali, hivyo wamekubaliana kubadilishana vifaa. l . Yanga inatafuta winga mwingine mwenye kasi kuelekea msimu ujao ili kuimarisha eneo lao la ushambuliaji hivyo wanaamini Kinzumbi ndiye mtu sahihi na wanaweza kumpata kirahisi kutokana na urafiki wa klabu hizo mbili. Usiache kutufollow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz ....................................................... #michezo #diamondplatnumz #millardayoupdates #simbasc #wasafimedia #yangasc #simba #updates #udaku #mitindo #sammisagonews #habari #globalpublishers #globaltvonline #bongo #dizzimupdates #burnaboygram #wizkidayo #wazazi #azamnews #mwanaspotiupdates #rickmedia #simulizinasaut #vplupdates #wasafitv #sisinisoka #azamtvupdates #mwananchiupdates #davido

5/17/2024, 9:36:13 AM

Chanzo cha kuaminikia kutoka ndani ya Simba kimedai kwamba jina la kiungo huyo Mghana ni miongoni mwa majina yaliyopendekezwa kwenye usajili wa dirisha lijalo na watu wanaoshughulikia ishu za usajili Msimbazi. “Simba wana mpango wa kusajili mshambuliaji, beki wa pembeni, kiungo na mshambuliaji mmoja wote kutoka nje (ya nchi) na jina la Akaminko limetajwa na linaendelea kufanyiwa kazi. Suala la kumsainisha au kushindwa hilo litajulikana mwisho wa dirisha,” kilisema chanzo hicho. “Kwenye dirisha la usajili mapendekezo yanakuwa zaidi ya matatu kila eneo, hivyo kupendekezwa kwa wachezaji sio wote wanaweza kusajiliwa, lakini ni lazima mmoja kati yao apewe mkataba.”

5/17/2024, 7:28:58 AM

Mlinzi wa kati wa klabu Simba Hussein Kazi inatajwa kuwa ni sehemu ya kukamilisha dili la Usajili la Mlinzi wa kati wa klabu ya Coastal Union Lameck Lawi, Simba imetoa Kiasi cha pesa pamoja na Hussein kazi ili kukamilisha dili hilo ambalo lilikuwa la wengi kuelekea soko la usajili. Haikuwa rahisi kwa klabu ya Coastal Union kutupilia mbali ofa za Vilabu vya Ihefu na Azam FC ambao nao walituma ofa ya kumtaka Lameck Lawi. Hussein Kazi amesajiliwa na Simba mwanzoni mwa msimu huu, ambapo alitazamiwa kutoa ushindani kwa wachezaji wa kikosi cha kwanza kwenye  timu hiyo hali ambayo ni kama imeshindikanika. Simba wanatazamia kufanya maboresho makubwa ya kikosi chao kuelekea msimu ujao haswa mara baada ya kufanya vibaya msimu huu. Inataarifiwa kuwa moja ya maeneo ambayo Simba wanaweza kufanya vyema ni pamoja na Usajili wa Beki, kiungo na mshambulaiji huku eneo la ufundi wakitazamia kuleta kocha mwenye rekodi kubwa kuja kufanya kazi na Mgunda

5/17/2024, 7:21:40 AM

Mlinda lango wa Young Africans Djigui Diarra msimu huu amekutana na upingamizi dhidi ya Ley Matampi mlinda lango wa Coastal union Mpaka sasa msimamo wa walinda mlango uko hivi kwa upande wa mpinzani wake Diarra ambaye ni Ley Matampi katika Nbc Premier League msimu huu . ◎ 21 games ◉ 13 clean sheets ◎ 10 goals conceded ◎ 2 yellow cards Michezo iliyosalia kwa Coastal Union ⛳Kagera Vs Coastal ⛳Coastal Vs Jkt Tz ⛳Coastal Vs Kmc Djigui Diarra katika Nbc Premier League msimu huu . ◎ 20 games ◉ 13 clean sheets ◎ 10 goals conceded ◎ 2 yellow cards Michezo iliyosalia kwa Young Africans ⛳Dodoma Jiji Vs Yanga ⛳Yanga Vs Tabora United ⛳Yanga Vs Tz Prisons @djiguidiarraofficial @matampiley

5/17/2024, 6:18:34 AM

TETESI-Taarifa za kuminika kutoka Kwa chanzo ndani ya klabu ya Yanga SC inaeleza kuwa kiasi cha 260 Milioni kimemng'oa beki wa kushoto wa FC Lupopo kutoka DRC 🇨🇩, Chadrack Boka (24) hadi kwa mabingwa hai WA mara (30) wa Tanzania.

5/17/2024, 4:38:21 AM

Hapa bingwa nani kwenye jezi ? #mzeewakibendera

5/16/2024, 5:17:20 PM

🎙:- Kwa mujibu wa Tovuti ya FarPost kutoka Afrika Kusini imethibitisha kwamba Skudu Makudubela tayari amepokea Ofa kutoka katika Klabu ya Magesi FC ambayo imefuzu kushiriki Ligi Kuu ya Afrika Kusini msimu ujao. Young Africans SC haina mpango wa kuendelea na huduma ya Kiungo huyu mwenye ustadi wa kuchezea Mpira hivyo ataondoka mwishoni mwa Msimu huu akiwa mchezaji huru. -WANANCHI 🔰 KWAHILI MNASEMAJE au TUMPE MKATABA MPYA SKUDU MAKUDUBELA...... . . . Usiache kutufollow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz ....................................................... #michezo #diamondplatnumz #millardayoupdates #simbasc #wasafimedia #yangasc #simba #updates #udaku #mitindo #sammisagonews #habari #globalpublishers #globaltvonline #bongo #dizzimupdates #burnaboygram #wizkidayo #wazazi #azamnews #mwanaspotiupdates #rickmedia #simulizinasaut #vplupdates #wasafitv #sisinisoka #azamtvupdates #mwananchiupdates #davido

5/16/2024, 3:41:08 PM

🌎🏆 Timu zilizofuzu hadi sasa kucheza FIFA CLUB WORLD CUP 2025: . 🇦🇷 RIVER PLATE. 🇧🇷 Flamengo. 🇧🇷 Palmeiras. 🇧🇷 Fluminense. 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Manchester City. 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Chelsea. 🇪🇸 Real Madrid 🇪🇸 Atlético Madrid. 🇩🇪 Bayern Múnich. 🇩🇪 Borussia Dortmund. 🇮🇹 Inter. 🇮🇹 Juventus. 🇫🇷 PSG. 🇵🇹 Benfica. 🇵🇹 Porto. 🇦🇹 Salzburg. 🇪🇬 Al Ahly. 🇲🇦 Wydad Casablanca. 🇿🇦 Mamelodi Sundowns. 🇹🇳 Esperánce. 🇸🇦 Al-Hilal. 🇯🇵 Urawa Reds Diamonds. 🇰🇷 Ulsan Hyundai. 🇲🇽 Monterrey. 🇲🇽 León. 🇺🇸 Seattle Sounders. 🇳🇿 Auckland City. Umeona chama lako hapo Usiache kutufollow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz ....................................................... #michezo #diamondplatnumz #millardayoupdates #simbasc #wasafimedia #yangasc #simba #updates #udaku #mitindo #sammisagonews #habari #globalpublishers #globaltvonline #bongo #dizzimupdates #burnaboygram #wizkidayo #wazazi #azamnews #mwanaspotiupdates #rickmedia #simulizinasaut #vplupdates #wasafitv #sisinisoka #azamtvupdates #mwananchiupdates #davido

5/16/2024, 12:24:09 PM

Huu ndo uzi wa @arsenal utakao tumika katika Michezo ya nyumbani msimu ujao wa 2024-2025 Nani anatuweza kwenye hii ligi ya Jezi ? #mzeewakibendera

5/16/2024, 11:55:07 AM

🎙️ MSIKIE KOCHA GAMONDI :: . “Nililetwa kwa ajili ya kutetea taji na kuifikisha timu hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika hilo nimelifanikisha na kuvuka hadi hatua ya robo fainali ambayo nimetolewa kwa changamoto ya mikwaju ya penalti,” . “Najivunia kufundisha timu bora ambayo inauchu wa mafanikio kwa pamoja tumefanya kazi sahihi siwezi kumtaja mchezaji mmoja mmoja kila aliyepata nafasi ya kucheza alikuwa bora na amehusika kwa namna moja ama nyingine kwenye mafanikio tuliyoyapata.” Usiache kutufollow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz ....................................................... #michezo #diamondplatnumz #millardayoupdates #simbasc #wasafimedia #yangasc #simba #updates #udaku #mitindo #sammisagonews #habari #globalpublishers #globaltvonline #bongo #dizzimupdates #burnaboygram #wizkidayo #wazazi #azamnews #mwanaspotiupdates #rickmedia #simulizinasaut #vplupdates #wasafitv #sisinisoka #azamtvupdates #mwananchiupdates #davido

5/16/2024, 11:44:03 AM

#360 Afisa habari wa timu ya Azam fc Zakaria Thabit yeye anasema kuwa Kuna mashindano ambayo Young Africans wanayahesabia na hayakuwa sehemu ya ubingwa ligi kuu Tanzania kuna utofauti wa ligi ya bara na Tanzania Hii ligi ilianza mwaka 1965 kama ligi ya Tanzania kwa mana ya Jamuhuri ya muungano ikaenda mpaka 1981 hapo sasa zilikuwa zikishiriki timu zote bara na visiwani na mshindi ndiye alihesabika kuwa bingwa na kwa bara mashindano yalianza ngazi ya wilaya mkoa mpaka taifa na baada ya hapo mnakutana na visiwani ili kupata bingwa wa Taifa Ilipofika 1982 ligi ilibadilishwa hapa zilianzishwa ligi tatu mosi ligi ya Bara ,pili ligi ya Visiwani ,tatu ligi ya muungano Bingwa wa ligi na mshindi wa pili kwenye ligi ya bara na visiwani walicheza ligi ya muungano, huyu ndiye aliyeliwakilisha taifa kwenye michuano ya kimataifa na huyu ndiye aliyetambulika kuwa bingwa wa Tanzania kwa hiyo kuanzia mwaka 1982 mpka 2003 kwenye hiki kipindi Yanga walihesabu ubingwa wa bara ambao sio wa muungano unaotambulika ukiondoa ubingwa mara 6 usio rasmi Young Africans ni mabingwa mara 23 na sio 30 Kwahiyo Yanga sio mabingwa mara 30 rejeeni kumbukumbu za historia. @zakazakazi @tanfootball @yangasc @alikamwe @wallacekaria

5/16/2024, 7:23:21 AM

Ndugu zetu wakiwaona hawa viumbe tu hali zao hoi Credit 👉 #evarestmasawe . Follow 👉👉 @evarestmasawe 👈 Follow 👉👉 @evarestmasawe 👈 Follow 👉👉 @evarestmasawe 👈 . . . Follow 👉👉 @evarestmasawe👈 Follow 👉👉 @evarestmasawe 👈 Follow 👉👉 @evarestmasawe 👈 . . #bakinasisi__ #VisitTanzania #yanga #Tanzania #daimambelenyumamwiko #NguvuMoja #wapendasokaupdates #now #millardayoupdates #sokaonlineupdates #likesforlike #ligikuutanzaniabara #ulipotupo #tbt #vodacompremierleague #VPLUpdates #VPL #AzamSports1HD #azamsports2 #kenya #uganda #rwanda #burundi #congo #kinshasa #hainakufeli

5/16/2024, 4:29:25 AM

MTANZANIA KUTOKA SPAIN AANDIKA REKODI YA STARS SAUDI ARABIA... Jabir Seif Mpanda ameandika rekodi ya kuitumikia timu ya soka ya taifa. Taifa Stars akiwa amekamilisha miaka 17 na siku 98. Rekodi inayoonyesha kuwa mchezaji mdogo zaidi kuitwa kwa mara ya kwanza na kupata nafasi ya kucheza katika kikosi cha Taifa Stars. Jabir anayekipiga katika timu ya U17 ya Getafe ya Hispania ameitwa katika kikosi cha Stars chini ya Kocha Hemed Seleman Morocco Aliingia katika kipindi cha pili katika dakika ya 78 .kuchukua nafasi ya Ben Starke.. Tokea ameingia Jabir alifanikiwa kugusa mpira mara 14 huku Stars ikionekana kuwazidia wenye wao kwenye Dimba dogo la King Fahad mjini Taif nchini Saudi Arabia. Jabir ni kati ya vijana wa Kitanzania wanaochipukia wakiwa na malezi ya soka katika nchi za England na Hispania. Kijana huyo kutoka familia ya Mpanda ni mkubwa na ana wadogo zake wawili Tariq na Barka ambao wote wanacheza soka nchini Spain 🇪🇸. Usiache kutufollow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz ....................................................... #michezo #diamondplatnumz #millardayoupdates #simbasc #wasafimedia #yangasc #simba #updates #udaku #mitindo #sammisagonews #habari #globalpublishers #globaltvonline #bongo #dizzimupdates #burnaboygram #wizkidayo #wazazi #azamnews #mwanaspotiupdates #rickmedia #simulizinasaut #vplupdates #wasafitv #sisinisoka #azamtvupdates #mwananchiupdates #davido

5/15/2024, 9:37:05 PM

Yupi atafanikiwa katika maombi yake msimu huu ? #mzeewakibendera

5/15/2024, 7:36:02 PM

Saidi Ntibanzonkiza ataondoka Simba sc msimu huu ikiwa ni sehemu ya wachezaji watakao pisha mabadiliko katika dirisha kubwa lijalo Saidi mwenye umri wa miaka 37 ameichezea Simba sc katika michezo 22 sawa na dakika 1576 akihusika kwenye magoli 10 kwa mana ya magoli 7 na pasi za magoli (assists 3) Msimu uliopita katika michezo 22 ya ligi alifunga magoli 15 pasi 12 za magoli akihusika kwenye magoli 27 kiujumla ukiachilia mbali tuzo za mwezi alifunga hat trick mbili katika michezo hiyo Kwenye tuzo za msimu pita Saidi Ntibazonkiza alitwaa tuzo ya 🏆Fair play 🏆Best Midfield 🏆Top Scorer 🏆Best X1 Mpaka sasa Simba imemalizana na wachezaji watatu wa kigeni ambao wataondoka Simba sc msimu ujao Simba haita tumia wachezaji wenye umri mkubwa ikiwa ni sehemu ya kuijenga Simba upya kwenye mizani ya kisoka. @simbasctanzania @ahmedally_ @ntibazonkizasaidi

5/15/2024, 5:17:42 PM

🟣💎| UPDATE: DERRICK FORDJOUR - Klabu ya Simba inamfuatilia mshambuliaji wa Medeama, Derrick Fordjour ili kupata saini yake katika dirisha lijalo la uhamisho. - Simba itaanza mazungumzo rasmi na Medeama mwishoni mwa wiki ijayo kwasababu Derrick Fordjour ana mkataba na timu hiyo hadi 2025, msimu huu amefunga magoli mawili (2) na assists 5 kwenye mechi 27 katika Ligi Kuu ya Ghana. - Scout wa klabu ya Simba anamfuatilia kwa kina zaidi mchezaji huyo raia wa Ghana ambaye amekuwa na wakati mzuri sana msimu huu. Usiache kutufollow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz ....................................................... #michezo #diamondplatnumz #millardayoupdates #simbasc #wasafimedia #yangasc #simba #updates #udaku #mitindo #sammisagonews #habari #globalpublishers #globaltvonline #bongo #dizzimupdates #burnaboygram #wizkidayo #wazazi #azamnews #mwanaspotiupdates #rickmedia #simulizinasaut #vplupdates #wasafitv #sisinisoka #azamtvupdates #mwananchiupdates #davido

5/15/2024, 4:21:30 PM

MIPANGO YA PARADE INANOGA TIMU IKITOKEA MKOANI . Yanga ina mpango wa kupeleka mchezo wao wa mwisho dhidi ya Prisons nje ya Dar ili wakabidhiwe kombe na wakirejea wafanye Parade la ubingwa wao wa 30. Yanga ilibidi wacheze Chamazi lakini ili Parade linoge wanatakiwa kutokea mkoani. Wananchi Mnasemaje hapo ?!.. Usiache kutufollow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz ....................................................... #michezo #diamondplatnumz #millardayoupdates #simbasc #wasafimedia #yangasc #simba #updates #udaku #mitindo #sammisagonews #habari #globalpublishers #globaltvonline #bongo #dizzimupdates #burnaboygram #wizkidayo #wazazi #azamnews #mwanaspotiupdates #rickmedia #simulizinasaut #vplupdates #wasafitv #sisinisoka #azamtvupdates #mwananchiupdates #davido

5/15/2024, 3:41:49 PM

wizara_ya_ulinzi_na_jkt WAZIRI WA ULINZI NA JKT AZINDUA BOMU BARIDI LA KUFUKUZIA TEMBO Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mheshimiwa Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 13 Mei, 2024 jijini Dodoma, Amezindua Bomu Baridi la Kufukuza Tembo katika maeneo ya makazi na karibu na hifadhi kwa kusema ugunduzi wa Bomu utakuwa ni suluhisho ya kutatua changamoto za uvamizi wa Tembo katika makazi ya wananchi Uvumbuzi wa bomu hili baridi umekuja kufuatia na agizo la Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia Suluhu Hassan tarehe 20 Sep, 2023 Alilolitoa akiwa katika ziara ya uwekaji jiwe la msingi katika Hospitali ya Mitwelo mkoani Lindi, aliyesema Serikali yake inaendelea na jitihada za kutatua changamoto ya Tembo kuvamia makazi na kuhatarisha usalama wa watu ikiwemo kuharibu mazao hususani katika mikoa ya Lindi, Arusha, Manyala, Tanga, Morogoro, Kilimanjaro na Simiyu. Hivyo Shirika la Mzinga kupitia Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na TAWIRI, lilitekeleza maagizo hayo na kufanikisha kutengeneza Bomu Baridi la kukabiliana na Tembo hawa. Katika hotuba yake ya uzinduzi wa Bomu Baridi la kukabiliana na Tembo, Waziri Tax amelishukuru Shirika la Mzinga kwa kutengeneza bomu hilo baridi na akalitaka Shirika la Mzinga kuendelea kufanya utafiti wa kuliboresha bomu hilo kadili inavyotakiwa ili liweze kuleta matokeo tarajiwa. Aidha Waziri wa Ulinzi akasema ili bomu hilo liwe na matokeo chanya ipo haja ya kuzingatia na kufuata mwongozo wa matumizi uliotolewa mzalishaji wa Bomu hilo, kuzingatia utaratibu wa kuyahifadhi na kuyatunza mabomu haya na kuzingatia matumizi bora yaliyokusudiwa. #aluteonlinemedia #timuyawananchi🔰 #timuyawananchi #trending #mamaprimeriza #tiktoktanzania🇹🇿 #tanzania🇹🇿 #MillardAyoUPDATES #NgaoYaJamii #tanzania🇹🇿 #timuyawananchi #trending #mamaprimeriza #tiktoktanzania🇹🇿 #MillardAyoUPDATES #indonesia #kenyantiktok🇰🇪 #somalitiktok #entertainment #iraq🇮🇶 #china #daimambelenyumamwiko #sokaonlineupdates #nguvumoja #simbasc #yangatv #sokatanzania #sokaonline #vpl #vplchampions #vplupdates #tumewasha #wasafimedia #soka #sokaplaceup

5/15/2024, 12:42:22 PM

Serikali imeongeza muda wa siku tano za kuomba ajira za Polisi kutokana na kuwepo kwa changamoto ya mtandao nchini kwa siku kadhaa, zilizokuwa ndani ya muda wa kuomba ajira hizo. Kauli hiyo ya Serikali imetolewa bungeni jijini Dodoma na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhandisi Hamad Masauni wakati akijibu hoja ya dharura ya Mbunge wa Jimbo la Makete mkoani Njombe, Festo Sanga aliyetaka kujua kauli Serikali kutokana na vijana wengi kushindwa kuingia mtandaoni kuomba ajira hizo za Polisi. Kwa upande wake Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye amesema tatizo la mtandao limeanza kumalizika na kwamba hadi sasa zaidi ya aslimia 80 ya mtandao umerudi katika hali yake na hivyo kuwataka vijana katika maeneo mbalimbali nchini waendelee kuomba ajira hizo. #aluteonlinemedia #timuyawananchi🔰 #timuyawananchi #trending #mamaprimeriza #tiktoktanzania🇹🇿 #tanzania🇹🇿 #MillardAyoUPDATES #NgaoYaJamii #tanzania🇹🇿 #timuyawananchi #trending #mamaprimeriza #tiktoktanzania🇹🇿 #MillardAyoUPDATES #indonesia #kenyantiktok🇰🇪 #somalitiktok #entertainment #iraq🇮🇶 #china #daimambelenyumamwiko #sokaonlineupdates #nguvumoja #simbasc #yangatv #sokatanzania #sokaonline #vpl #vplchampions #vplupdates #tumewasha #wasafimedia #

5/15/2024, 12:26:58 PM

HAIISHI MPAKA IISHE Tunawakumbusha tu, kuna 'vita' nyingine huku 👐🏽🔥🔥 Ni @djiguidiarraofficial au @matampiley ? Picha 📸 @ray_sports_tz @ligikuu @tanfootball @nbc_tanzania @azamtvsports @tbc_online Usiache kutufollow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz ....................................................... #michezo #diamondplatnumz #millardayoupdates #simbasc #wasafimedia #yangasc #simba #updates #udaku #mitindo #sammisagonews #habari #globalpublishers #globaltvonline #bongo #dizzimupdates #burnaboygram #wizkidayo #wazazi #azamnews #mwanaspotiupdates #rickmedia #simulizinasaut #vplupdates #wasafitv #sisinisoka #azamtvupdates #mwananchiupdates #davido

5/15/2024, 11:51:53 AM

KITI CHA OFISINI (Kinapanda/ Kinashuka) Good condition Iko:Mbezi Makonde Bei:TSh 150,000/= WhatsApp Us 📲 0763221924 Call. Us Now 📞0763221924 *****km-un***** . . . . . #daressalaam #mbezibeach #powertools #cars #usednampya #mavituvitu #sofa #ma . . . #vodacompremierleague #sokaonline #simbasc #yanga #soka #millardayoupdates #yangasc #sokaonlineupdates #DaimambeleNyumamwiko #vplupdates #vpl #yangascbingwaupdates #tanzaniapremierleague #azamsports2 #millardayosports #azamtv #azamfc #millardayo #wasafimedia #NguvuMoja #Alluminium

5/15/2024, 11:12:57 AM

Kata kiu yako ya michezo na burudani kupitia gazeti lako pendwa la Mwanaspoti Jumatano, Mei 15, 2024. Usiache kutufollow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz ....................................................... #michezo #diamondplatnumz #millardayoupdates #simbasc #wasafimedia #yangasc #simba #updates #udaku #mitindo #sammisagonews #habari #globalpublishers #globaltvonline #bongo #dizzimupdates #burnaboygram #wizkidayo #wazazi #azamnews #mwanaspotiupdates #rickmedia #simulizinasaut #vplupdates #wasafitv #sisinisoka #azamtvupdates #mwananchiupdates #davido

5/15/2024, 9:36:06 AM

Nimeona taarifa ya kurejeshwa kwa michuano ya Kagame Cup ambayo ilisimana kwa muda sasa kutokana na sabbu tofauti na kwa mujibu wa Mkurugenzi mtendaji wa CECAFA John Gecheo ni kuwa zitacheza mpaka timu ambazo sio mwanachama wa ukanda huu CECAFA wanatakiwa kuyapa mashindano thamani kwa mana ya nini ? kwa sasa kuna choice ya mashindano kuna mashindano mengi kwa sasa zaidi ya mashindano 6 kwa timu moja uzuri kuna mashindano ya fedha hisani na historia kwa mana ya mafanikio ya makombe Unapo ziweka Simba na Yanga kwenye mashindano kama Kagame Cup ambayo kiuhalisia hayana ushindani huo wa miaka ya nyuma kutokana na mchango wa michuano kwenye kujenga historia ya timu, kuingiza pesa ama kuweka ushindani wa ndani ya uwanja Ukiondoa suala la kuongeza timu kuna suala la kuongeza fedha ,ubora wa uendeshaji wa michuano yenyewe lakini pia muendelezo wa michuano yenyewe .

5/15/2024, 7:00:13 AM

|| Utani wa Mshery na Lomalisa kwa Dickson Nickson Job kwenye picha iliyopandishwa mtandaoni na Yanga. Yanga imepandisha instagram picha ya mlinzi wake wa kati Dickson Nickson Job akinywa mvinyo kwa furaha baada ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu NBC 2023/24. Usiache kutufollow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz Follow @ray_sports_tz ....................................................... #michezo #diamondplatnumz #millardayoupdates #simbasc #wasafimedia #yangasc #simba #updates #udaku #mitindo #sammisagonews #habari #globalpublishers #globaltvonline #bongo #dizzimupdates #burnaboygram #wizkidayo #wazazi #azamnews #mwanaspotiupdates #rickmedia #simulizinasaut #vplupdates #wasafitv #sisinisoka #azamtvupdates #mwananchiupdates #davido

5/15/2024, 12:13:14 AM

🚨🔵 Pep Guardiola: "Stefan Ortega ametuokoa, vinginevyo Arsenal ni Mabingwa wa Premier League".

5/15/2024, 12:05:47 AM

-Pichani ni Kocha mkuu wa Man City,Pep Guardiola akiwa amekaa chini baada ya Son alipokaribia kuisawazisha Tottenham Hotspur goli dakika ya 86 Kocha hii ndo Hali aliyo kuwa nayo🙌😀😀

5/14/2024, 11:49:00 PM

Tanzania imeteuliwa kuwa Mwenyeji wa michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, maarufu kama Kombe la Kagame ambayo itafanyika kuanzia Julai 20 hadi Agosti 4. Taarifa ya Baraza la Vyama na Mashirikisho ya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) imesema Klabu zote bingwa za Ligi za ukanda huo unaohusisha mataifa 12 na nyingine nne zitakazoalikwa kutoka nje ya nchi wanachama zitashiriki. “Tunayo furaha kwamba michuano hii itarejea baada ya miaka miwili kuleta fursa nzuri ya maandalizi ya msimu kwa timu kujitayarisha vizuri kabla ya kuanza kwa msimu wa Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho ya CAF msimu wa 2024-2025 na Ligi tofauti za nyumbani,” amesema Mtendaji Mkuu wa CECAFA, John Auka Gacheo. Mara ya mwisho michuano hiyo ilifanyika Tanzania pia mwaka 2021 na Express ya Uganda ilitwaa Kombe kwa ushindi wa 1-0 dhidi ya waalikwa, Nyasa Big Bullets Jijini Dar es Salaam. Simba SC ndio mabingwa wa kihistoria wa michuano hiyo baada ya kushinda mara sita katika miaka ya 1974, 1991, 1992, 1995, 1996 na 2002 - sawa na Gor Mahia ya Kenya katika miaka ya 1967, 1979, 1982, 1983, 1984 na 1997. Vigogo wengine wa Tanzania, Yanga wanafuatia kubeba mara nyingi taji hilo, mara tano katika miaka ya 1975, 1993, 1999, 2011 na 2012 sawa na Tusker, zamanı Breweries ya Kenya katika miaka ya 1988, 1989, 2000, 2001 na 2008. FOLLOW UKURASA HUU 🙏

5/14/2024, 11:05:47 PM