azam images

Discover Best azam Images of World

#food #travel #sports #news #may #monday

" NEVERLURSEN " hawa wamegoma kufungwa na mpaka sasa wamecheza mechi 51 bila kupoteza katika mashindano yote na msimu huu wamebakiza mechi mbili tu 1: Fainali ya DFP Pokal 2: Fainali ya Europa Ligi Wanafukuzia " INVINCIBLES " ya mashindano yote , sasa jukumu lipo kwa Gian Piero Gasperini mbabe wa Jurgen Klopp kumbutua Xabi Alonso na kusitisha rekodi yake ya kutopoteza mechi yoyote ile msimu huu watakapokutana kwenye fainali ya Europa Ligi wiki hii tarehe 22 , Aviva Stadium nchini Ireland. Ni Bayer Leverkusen Vs Atalanta , nani mbabe wa Europa Ligi 2023/24 ??

5/20/2024, 3:23:07 PM

Law Minister Azam Nazeer Tarar Monday told the judiciary, albeit with “all due respect”, that it did not have the mandate of dragging senior military officers and government officials in the case of a missing poet. Islamabad High Court’s Justice Mohsin Akhtar Kayani had moments before issued stern remarks against security agencies as authorities failed to recover missing Kashmiri poet and journalist Ahmed Farhad Shah. During the hearing of the case the judge not only issued hard-hitting remarks against military officials, but warned that the court would summon the prime minister and his cabinet if the poet was not recovered. “This is not the mandate of the court, the court is a platform for providing justice in line with the law and Constitution,” Tarar said during a press conference in Islamabad, as the rift grows between institutions. #azam

5/20/2024, 3:01:02 PM

🚨Taarifa zilizonifikia @usajiliwetu ni kwamba Mwenyekiti wa Mamelodi Sundowns, Tlhopie Motsepe amewasiliana na Agency inayomsimamia nyota wa Yanga SC, Stephan Aziz Ki inayojulikana kama Zambro Sport Management kuulizia upatikanaji wa kiungo huyo. Mkataba wa Yanga SC na Stephan Aziz Ki unaelekea ukingoni na bado mazungumzo yanaendelea baina ya Yanga SC na wasimamizi wa raia huyo wa Burkina Faso juu ya kuongeza mkataba mpya. Timu nyingine ambayo imeulizia upatikanaji wa Aziz Ki mbae amefunga magoli 15 kwenye NBC Premier League ni Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini huku Pyramid na Al Ahly wakitajwa kuwa kwenye mbio za kuwania saini ya kiungo huyo.

5/20/2024, 2:59:07 PM

NYUMBA INAPANGISHWA HOUSE FOR RENT. CHAMAZI:BAMIA (dk tano (5) kutoka barabarani ) ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ ➖ ✅Vyumba 3 Kimoja Master ✅Sebule na Dining ✅Jiko Zuri ✅Ndani Ya Fensi (Ulinzi✅) ✅ Parking Kubwa ✅Maji Na Umeme ✅Tank La Maji Lipo ✅ aluminium Window/Tiles/Gypsum ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ BEI/PRICE :300,000 Pamoja na Mwezi mmoja wa @dalali_smart_chamazi ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ SERVICE CHARGE 20,000/= only Mpaka Upate Nyumba Utakayoipenda ☎️ CALL 📞 +255 626 260 887 ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ @dalali_smart_chamazi . . . . . . . . . . . . #Appartment #realestate #wasafi #followforfollowback #mangekimambi #dalali #wasafi #followforfollowback #realestate #azam #chamazi #mbagala #millardayo #kigamboni #mwenge #houserent #comedy #

5/20/2024, 1:59:09 PM

Jumapili ya Juni 02, itapigwa fainali ya CRDB Bank federation Cup Ni AzamFC dhidi ya wananchi Yanga sC Msimu uliopita timu hizi zilikutana pia kwenye fainali ya kombe hili na Yanga SC akaibuka bingwa kwa kushinda goli 1-0 Je, msimu huu ni Yanga tena ama AzamFC kulipa kisasi na kuchukua ubingwa huu kwa mara ya pili,? Cc : AzamSports #CRDBFederationCup #yanga #azam

5/20/2024, 11:57:03 AM

Yanga kukabidhiwa kombe la ushindi TAARIFA hizo zimethibitishwa Leo hii kuwa tarehe 25 mwezi huu watakipiga na Tabora united na ndo siku watakayo kabidhiwa kombe lao.... . . . . . . . #yanga #simba #manara #ayo #ihefu #dodoma #sports #mpenja #clouds #azam #udaku #bbc #dwtv #watufulani #watubaki #watustory.

5/20/2024, 11:52:19 AM

Ikram muslimin… Insyallah tahun depan kita tambah lagi dan lagi Jemaah kuar di jalan allah swt… Jgn pernah takut untuk korban pada perkara Yang bermanfaat insyallah☝️ #azam #lagidanlagi #hidayahitumilikAllah

5/20/2024, 11:36:50 AM

Nikweli azam ni wazuri ila nawaambia tu kama #MudathirYahaya angekuwepo kwenye kikosi Chao timu ya #Azamfc ingekua bora sana Sijui nani aliwaza kumtema Mr.Chamanzi pale chamanzi nawaza tu eti yanga walimpata akiwa mtaani uyu jamaa 😂😂 ila #Azam bhn #Bm_Mwakalobo✍️🇹🇿

5/20/2024, 10:26:05 AM

Ken Gold imesema itakuwa makinı kufuatilia mechi zilizobaki za Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho (FA) ili kupata wachezaji watakaojumuishwa katika kikosi cha timu hiyo msimu ujao. Pia imesisitiza kuwa siyo kwa timu kubwa za Simba na Yanga, bali hata nyingine zinazocheza Ligi Kuu ikiwamo KMC, Coastal Union, Prisons na Ihefu itazifuatilia ili kuhakikisha inakuwa na kikosi bora cha kushindana msimu ujao. Ken Gold ya wilayani Chunya mkoani Mbeya inajiandaa na Ligi Kuu ikitarajia kushiriki kwa mara ya kwanza michuano hiyo baada ya kupanda daraja huku ikimaliza Championship kinara kwa pointi 71.source @mwanaspoti #ligikuunKen Gold imesema itakuwa makinı kufuatilia mechi zilizobaki za Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho (FA) ili kupata wachezaji watakaojumuishwa katika kikosi cha timu hiyo msimu ujao. Pia imesisitiza kuwa siyo kwa timu kubwa za Simba na Yanga, bali hata nyingine zinazocheza Ligi Kuu ikiwamo KMC, Coastal Union, Prisons na Ihefu itazifuatilia ili kuhakikisha inakuwa na kikosi bora cha kushindana msimu ujao. Ken Gold ya wilayani Chunya mkoani Mbeya inajiandaa na Ligi Kuu ikitarajia kushiriki kwa mara ya kwanza michuano hiyo baada ya kupanda daraja huku ikimaliza Championship kinara kwa pointi 71.source @mwanaspoti #ligikuutanzaniabara #tetesizausajili #simbascvsyangasc #wataniwajadi #dadawataifa

5/20/2024, 8:05:49 AM

🚨Kwenye michezo ya Nusu Fainali wote wamefunga bao,Feisal alifunga vs Coastal Union na Aziz alifunga Vs Ihefu, Wanaenda kukutana Kwenye fainali sasa....Tuzo ya mchezaji bora wa CRDB FA CUP inatafutwa hapa..

5/20/2024, 8:03:02 AM

IKWAAN LOGISTICS AIR CARGO we move goods from Dubai to Tanzania 24 hours service & 4 days cargo service we deliver on time We carry your trust #dubai #tanzania #cargo #daresalaam #arusha #logistics #fright #dubai #tanzania #arusha #daress alaam #cargo #mizigo #express #mizigoexpress #cargoexpress #marketingmasterstz #Airport #azam #zanzibar #happy# speed #safari #safety #relatable #customer satisfied #alikiba #diamondplatnumz #dubai #miladayoupdate #24h #moneyhungrytrucks

5/20/2024, 7:54:23 AM

ANZA NA AZA Wazalishaji wa Bidhaa Bora za Asili, Kama; ▶️Sabuni ya Asili ▶️Mafuta ya Asili ▶️Mafuta ya Watoto ▶️Mafuta ya Mnyonyo ▶️Natural Lotion ▶️AZA Miracle Drink ▶️AZA Massage Oil 💆 ▶️AZA Best Mixture ▶️AZA Starehe Halisi Bidhaa zetu Hutumika katika ▶️Ngozi ▶️Nywele ▶️Matibabu ya Maradhi mbali mbali Tunapatikana Tabata, Dar es Salaam, Tanzania Mawasiliano: 0717 098 892/ 0782 098 892 Social media : AZA Natural Products #aza #asili #dawa #wizarayaafya #afya #eunice #bunge #delivery #azam #fashaz #tanzania #tiktok #tiktokindia #tiktokkenya

5/20/2024, 7:36:53 AM

Rais wa Iran Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje Hossein Amirabdollahian wamefariki katika ajali ya helikopta katika mkoa wa Azerbaijan Mashariki mwa Iran. Waokoaji walipata eneo la ajali baada ya msako wa masaa kadhaa katika hali mbaya ya hewa. #azamtv #azamsports #tanzania #millardayoupdates #nguvumoja #simbasc #azamtwo #yangasc #azam #alikiba #simba #diamondplatnumz #wasafitv #cloudstv #azamsportshd #wasafimedia #millardayosports #simbasctanzania #harmonize #vpl #azamnews #yanga #azamtvapp #kingkiba #wemasepetu #simbasportsclub #daressalaam #millardayo #hd #wcb

5/20/2024, 7:23:47 AM

Pep Guardiola kuhusu mustakabali wake ndani ya Man City , ambapo mkataba wake unaisha Juni 2025 "Uhalisia ni kwamba nipo karibu kuondoka kuliko kubaki . Tumeongea na klabu na kwasasa nataka kubaki . Msimu ujao nitabaki hapa . Lakini wakati msimu unaendelea tutaongea na tutaona " Source : @fabriziorom Tunajua wewe ni kocha bora na umethibitisha hadi EPL basi inatosha tunaomba uende tu . Italy inakuhitaji pia nenda huko eeh

5/19/2024, 9:31:36 PM

- Walisema hiyo ligi kipara haiwezi! KIKO WAPI!!! 😄 Kipara alisema league nyepesi msimu wake wa Kwanza anatua England maneno yake yatafuteni ulikuwa ni msimu wake wa Kwanza nakumbuka ni baada ya kushinda game Saba alivyoulizwa Hilo swali league unaionaje alisema league ni nyepesi sana 😅 - Watu walikuja juu basi kipara baada ya hayo maneno zikapita game Saba hajashinda ila msimu uliofuata akafanya sajili walker steeling EPL akatwa hadi leo ni yeye league sio ngumu team nyingi zinacheza kukamia aliyeonesha nia ya kuwa vizuri ila kwa kipara wanajilegeza mabwege kabsa...

5/19/2024, 8:08:49 PM

THE MIGHTY CITY .! ✍🏻Mabingwa wa Ligi kuu ya soka nchini England 2023/24 katika mechi 38 kukusanya alama 91 na kutetea ubingwa wao .! ✍🏻Rekodi : Mara nne mfululizo City anatwaa taji la EPL kwa mara ya kwanza kutoea EPL , kwanza msimu uliopita walifikia rekodi ya Man United kutwaa mara 3 mfululizo na sasa wame set mpya ya mara 4 mfululizo . THIS IS MAN CITY ✍🏻Walihitaji alama 3 dhidi ya West Ham na wameonesha kwanini wao ni champions , utawala wa mechi , idadi ya nafasi walizotengeneza na kutetea taji lao ✍🏻Wakati wanahoji kwanini Phil Foden ni mchezaji bora wa mwaka , akawajibu kwa mechi bora uwanjani kamba mbili na kufikisha magoli 19 msimu huu na assists 8 , na sasa hili ni taji lake la 6 la EPL akiwa na miaka 23 tu .! THE DECORATED YOUNG ENGLISH PLAYER .! CONGRATULATIONS MAN CITY 🏆🏆🏆🏆

5/19/2024, 7:25:51 PM

Tunatengeneza mabango ya uwakala size zote tunakuketea hadi mlangoni. Tupo #tandika na #kariakoo Tupigie 0755744733 #mabango #mabangoyabiashara #azam #logo #designer #sticker #wakala

5/19/2024, 6:24:52 PM

Ukitaka kuleta ushindani zaidi ya #Azam na #Yangasc akikisha unafanya sana Usajili na si kufanya tu uwe usajili wa uwakika. Sijui unaelewa mtoto wa Katiakoo!!! Ni #Azam na #Yangasc tena Fainali #Bm_Mwakalobo✍️🇹🇿

5/19/2024, 6:24:48 PM

MDAU HATAKI TABU! . Asije kujifia kwa mapresha bure😂

5/19/2024, 6:08:31 PM

THIS IS YANGAA 🔥🔥🔥

5/19/2024, 6:03:52 PM

#2cvphotography #2cv6 #citroen #citroën #2cvcitroen #azam #2cvazam #deuche #brazeyenplaine #nationale2cv2024 #nationale2cv Deuche belges, bretonnes ou alsacienne on voyage!!

5/19/2024, 5:36:34 PM

CHUMBA CHOO NA SEBULE INAPANGISHWA/HOUSE FOR RENT KODI LAKI 1 (100,000) ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ CHAMAZI- BAMIA DK 10 KUTOKA BARABARANI KWENDA KWENYE NYUMBA ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ MUUNDO WA NYUMBA 🔵️SEBULE 🔵CHUMBA 🔵CHOO ☑️MAJI (unajitegeme) ☑️️UMEME (Luku Yako) ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ BEI/PRICE :100,000 Pamoja na Mwezi mmoja wa @dalali_smart_chamazi ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ SERVICE CHARGE 20,000/= only Mpaka Upate Nyumba Utakayoipenda ☎️ CALL 📞 +255 626 260 887 ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ @dalali_smart_chamazi . . . . . . . . . . . . #Appartment #realestate #wasafi #followforfollowback #mangekimambi #dalali #wasafi #followforfollowback #realestate #azam #chamazi #mbagala #millardayo #kigamboni #mwenge #houserent #comedy #

5/19/2024, 4:39:22 PM

NYUMBA INAPANGISHWA/HOUSE FOR RENT KODI LAKI 1(160,000) ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ IPO MZAMBARAUNI karibu na barabarani ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ MUUNDO WA NYUMBA ☑️SEBULE ☑️CHUMBA - MASTER 1 ☑️JIKO ZURI ☑️MAJI (unajitegeme) ☑️️UMEME (Luku Yako) ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ BEI/PRICE :160,000×6 Pamoja na Mwezi mmoja wa @dalali_smart_chamazi ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ SERVICE CHARGE 20,000/= only Mpaka Upate Nyumba Utakayoipenda ☎️ CALL 📞 +255 626 260 887 ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ @dalali_smart_chamazi . . . . . . . . . . . . #Appartment #realestate #wasafi #followforfollowback #mangekimambi #dalali #wasafi #followforfollowback #realestate #azam #chamazi #mbagala #millardayo #kigamboni #mwenge #houserent #comedy #

5/19/2024, 3:39:58 PM

📌Mara ya mwisho #Azam alishinda mechi kwa magoli 2. Je #JKTTanzania atapata ushindi mara hii?

5/19/2024, 3:36:41 PM

NYUMBA ZIPO 3 ZINAPANGISHWA/HOUSE FOR RENT KODI LAKI MBILI(200,000) ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ 📍LOCATION : MWEMBE BAMIA (Karibu na uwanja Wa Azam ) Nyumba Ipo Barabarani dk 7 tuu kutembea Kwa mguu kutoka barabarani ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ MUUNDO WA NYUMBA ☑️SEBULE ☑️VYUMBA 2 - MASTER 1 ☑️PUBLIC TOILET ☑️JIKO ZURI ☑️MAJI (unajitegeme) ☑️️UMEME (Luku Yako) ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ BEI/PRICE : 200,000×6 Pamoja na Mwezi mmoja wa @dalali_smart_chamazi ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ SERVICE CHARGE 20,000/= only Mpaka Upate Nyumba Utakayoipenda ☎️ CALL 📞 +255 626 260 887 ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ @dalali_smart_chamazi . . . . . . . . . . . . #Appartment #realestate #wasafi #followforfollowback #mangekimambi #dalali #wasafi #followforfollowback #realestate #azam #chamazi #mbagala #millardayo #kigamboni #mwenge #houserent #comedy #

5/19/2024, 3:36:30 PM

STAND ALONE #repost NYUMBA INAPANGISHWA/HOUSE FOR RENT KODI LAKI MBILI(200,000) ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ 📍LOCATION :CHAMAZI (Karibu na uwanja Wa Azam ) Nyumba Ipo Barabarani dk 7 tuu kutembea Kwa mguu kutoka barabarani ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ MUUNDO WA NYUMBA ☑️SEBULE ☑️VYUMBA 2 - MASTER 1 ☑️PUBLIC TOILET ☑️JIKO ZURI ☑️MAJI (unajitegeme) ☑️️UMEME (Luku Yako) ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ BEI/PRICE : 200,000 Pamoja na Mwezi mmoja wa @dalali_smart_chamazi ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ SERVICE CHARGE 20,000/= only Mpaka Upate Nyumba Utakayoipenda ☎️ CALL 📞 +255 626 260 887 ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ @dalali_smart_chamazi . . . . . . . . . . . . #Appartment #realestate #wasafi #followforfollowback #mangekimambi #dalali #wasafi #followforfollowback #realestate #azam #chamazi #mbagala #millardayo #kigamboni #mwenge #houserent #comedy #

5/19/2024, 3:32:41 PM

🚨THANK YOU👋 SCREEN PROTECTOR🚨 Baada ya golikipa namba 1 wa klabu ya YOUNG AFRICANS kuitumikia klabu hiyo kwa misimu mitatu sasa mfululizo. Inasemekana ya kwamba Yanga wapo mbioni kutafuta golikipa namba moja kwa ajili ya klabu yao kutokana na djigui Diarra kuhitajika na vilabu vikubwa barani afrika. Yanga pia wataachana na goli kipa wao namba mbili ambaye ni Metacha Mnata kutokana na kutokiwa imara katika baadhi ya mechi alizoshiriki🥅⚽. #AzamSports1HD na #AzamSports2HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #SokaLetuBambam #SokaLetuDamdam #YangaSC #mpirawamiguu #tpl #epl #soccer #wasafi #sportsarena #simba #yanga #mpira #diamondplatnumz #sportpesa #fabrizio #sport #azam #wasafitv #wasafimedia #football #premierleague #daimambelenyumamwiko #nguvumoja

5/19/2024, 2:23:36 PM

Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi ametambia mastaa wake Pacome Zouzoua, Stephane Aziz Ki, Maxi Nzengeli kuelekea mchezo wa hatua nusu fainali ya Kombe la Shirikisho (FA), huku akisisitiza kwamba wanataka kutinga hatua inayofuata. . “Nina mchezaji ambaye ni mfungaji bora wa ligi kwa kufunga mabao mengi. Nina mchezaji ambaye pia ni mzuri kwenye kutoa pasi za mwisho (asisti), nina Pacome na Maxi bado niwe na wasiwasi?” alihoji Gamondi. . “Sina hofu yoyote najivunia kikosi changu. Nina timu ambayo inacheza kimbinu na imekuwa ikishirikiana kwenye kila kitu. Sitegemei mabeki kwenye kukaba timu nzima inafanya hivyo na kushambulia wanakiwa pamoja.” Alisema Gamondi. #LigiKuu

5/19/2024, 2:01:53 PM

MESEJI SENTI WHERE? . Kauli ya Abdul Seleman Sopu baada ya mchezo wao wa nusu fainali dhidi ya Coastal Union ya Tanga na wana lambalamba kutinga fainali ya Kombe la Shirikisho la TFF na sasa wanasubiri mshindi kati ya Yanga na Ihefu. . We Mzee @aggrey_sports hii meseji ielekezwe kwa Wananchi wa Mkoani Singida au wa pale mitaa ya Twiga na Jangwani? . CHAMBUA

5/19/2024, 1:57:40 PM

TAARIFA MPYA KUTOKA AZAM 🔥🔥🔥 Mwandishi wa habari za michezo, Juma Ayo ameripoti kuwa mchezaji wa Azam FC, Feisal Salum ameomba kuondoka ndani ya timu hiyo na anahusishwa kwa karibu na mpango wa kutua Simba. WANANCHI MNASEMAJE?🤔

5/19/2024, 1:48:22 PM

Hali ya Uwanja wa Sheikh Amri Abeid sasa hivi ni 90% kujaa , Mashabiki ndani ni wengi nje wanazidi kuongezeka 🔥!.. Semi Final in Arusha 👏

5/19/2024, 1:06:25 PM

🚨 ZA FRIJI BOVU KUTOKA KWA 📌 AMITABACHAN 📍 Imefahamika kuwa Nyumba aliyokuwa akiishi Baleke na Usafiri aliokuwa akitumia pia ndiyo atakavyokuwa akitumia Fiston Mayele msimu ujao ndani ya Simba Sc 📍 Taarifa za ndani zimethibitisha kuwa msimu ujao ataitumikia klab ya Simba Sc kwa mkopo akitokea Pyramids.

5/19/2024, 12:49:06 PM

IHEFU V/s YANGA ni mechi nzuri sana kuitazama kutokana na ushindani ambao Ihefu imekuwa ikiuonesha mbele ya Wananchi pindi timu hizo zinapokutana. Ihefu imefanikiwa kupata ushindi mara mbili dhidi ya Yanga kwa mechi za hivi karibuni kitu ambacho hakikuwa kikitarajiwa na watu wengi. Yanga na Ihefu zilipokutana kwenye Ligi mzimu huu kila timu imeshinda nyumbani kwake, mchezo wa kwanza uliocheza Highland Estates, Mbarali, Mbeya, Ihefu ilishinda 2-1 lakini mchezo wa pili uliochezwa Azam Complex, Chamazi, Dar, Yanga ilishinda 5-0. Leo timu hizi zinakutana kwenye mchezo wa Nusu Fainali ya CRDB Federation Cup, ni mchezo wa mtoano ambao unahitaji umakini mkubwa kwa sababu michezo ya aina hii ina namna yake ya kuicheza ili kupata matokeo yaliyo bora bila kujali nguvu/ubora wa mpinzani unaekutana nae mbele yako. Baada ya usajili wa dirisha dogo na mabadiliko ya benchi la ufundi, Ihefu imeimarika na imekuwa ni timu yenye ushindani huku ikiwa chini ya Kocha Mecky Maxime ambaye ni miongoni mwa makocha bora wazawa. Yanga inapigania heshima ya makombe na historia lakini kwa Ihefu huenda hii ni njia yao ya mkato kutaka kushiriki mashindano ya CAF, bingwa wa FA akitoka nje ya nafasi za juu kwenye msimamo wa Ligi anapata fursa ya kushiri Kombe la Shirikisho la CAF. Kwa hiyo kama Ihefu itafanikiwa kuitoa Yanga kwenye mchezo wa Nusu Fainali na kufuzu Fainali halafu ikaifunga Azam FC, msimu ujao itashiriki mashindano ya Kombe la Shirikisho la CAF hata kama itamaliza nje ya top four kwenye msimamo wa Ligi Kuu! Kutokana na ubora wa timu, ubora wa mchezaji mmoja mmoja, uzoefu wa mshindano na mechi za mtoano, Yanga ina nafasi nzuri ya kufuzu Fainali ya CRDB Federation Cup ukilinganisha na Ihefu #yanga #ihefusc #simba #azam #mtibwasugar #sports

5/19/2024, 12:48:20 PM

Size 22 inches, Miaka 8 na kuendelea, 6 speed, Good condition, Bei 240,000/tsh tu, Karibu DM kwa biashara na kwa maelezo zaidi piga/WhatsApp 0683915511 • • @cholobicyclestz • • • #diamondplatnumz #wasafi @cholo_bicyclestz #wasafimedia #wasafitv #milladayo #milladayoupdates #tanzania #zanzibar #cholobicyclestz #gere #jeje #zuchu #kingkiba #tanashadonna #wasafifm #wcb4life #udaku #balozi_business #daressalaam #kondegang #babalao #udakutz @cholo_bicyclestz #hiiniyetusote #bongo5updates #azam @cholo_bicyclestz #tbc #itv #efm #instagram #instagood

5/19/2024, 12:30:32 PM

Mkataba wa Feisal Salum na Azam FC hauna kipengele kama indapo akiuzwa timu yoyote basi timu aliotoka Young Africans Sports Club watapata fedha za sehemu ya mauzo hayo. Pia hakuna kipengele kama ikitokea Fei akauzwa kwenda timu ya Simba SC Tanzania basi italazimika Azam ailipe Yanga bil 1.5. NB: Fei alinunua mkataba wake ndani ya Yanga hakuna biashara iliofanyika kati ya Azam na Yanga hivyo wakati wa kusaini mkataba Fei alikuwa na makubaliano binafsi na Azam.

5/19/2024, 11:52:01 AM

Size 22 inches, Miaka 8 na kuendelea, 6 speed, Good condition, Bei 240,000/tsh tu, Karibu DM kwa biashara na kwa maelezo zaidi piga/WhatsApp 0683915511 • • @cholobicyclestz • • • #diamondplatnumz #wasafi @cholo_bicyclestz #wasafimedia #wasafitv #milladayo #milladayoupdates #tanzania #zanzibar #cholobicyclestz #gere #jeje #zuchu #kingkiba #tanashadonna #wasafifm #wcb4life #udaku #balozi_business #daressalaam #kondegang #babalao #udakutz @cholo_bicyclestz #hiiniyetusote #bongo5updates #azam @cholo_bicyclestz #tbc #itv #efm #instagram #instagood

5/19/2024, 11:28:23 AM

. Kwanza kabla ya mitanange ya leo , vurugu za leo pale EPL : Tuanze na habari ya MESSINHO Chelsea wamefikia makubaliano na Palmeiras kwenye usajili wa winger Willian Estevao " Messinho " kwa dau la Jumla ya Euro Milioni 65 ( Euro Milioni 40 zinatangulia na baadae Euro Milioni 25 zitafuata ) Messinho atajiunga na Chelsea 2025 , klabu haina mpango wowote wa kumtoa kwa mkopo , kwa kuwa wanaamini ana kipaji cha kuhusika na timu ya kwanza yeye pamoja na Kendry Paez .! Source: @fabriziorom MPAKA TUITE MAJI MSIMU UJAO .!

5/19/2024, 11:22:47 AM

Available in our stock🔥🔥 Neutrogena sunscreen dry touch ...............................///................... 🌹Hii ni 2in1 ni sunscreen hapo hapo ni moisturiser 🌹kwa wasio weza kutumia vitu viwili kwa wakati mmoja iih inawafaa 🍓ina sPf50+ 🌹with UVA & UVB protection. 🌹Imekua proven na madactari wa ngozi kutumika bila madhara. 🌹Ni anti aging sunscreen ☀️ 🌹Hii! Ni sunscreen nzuri sana hasa kwa wale wenye sensitive skin. 🌹kuna watu wakitumia sunscreen2 basi wanapata harara mno basi hii ndio mkombozi wako ....... 🌹Non greasy 🌹Jua limekua kali sana jamani msitembee bila kupaka sunscreen 🌹miale ya jua ina athari nyingi sana kwenye ngozi zetu jamani tuzingatie hilo ............................././ 🌹Hii sunscreen inakuepusha na kupata wekundu usoni. 🌹hata ukitembea juani aupati athari za jua ukitumia iih 🌹ni oil free. Bei 35,000 .......,,,,,,,,,,, ................ 🛵we do derivery in dar na mikoani na mikoani pia tuna tuma .................................... Call or WhatsApp......0629 199901 Follow us @susane_house_of_beauty @susane_house_of_beauty #africasweetheartweddings #kitengefashion #eastafricaweddings #fashionkenya #diamondplatnumz #kenyanmemes #weddingnaija #watapatatabusana #kenyafashion #chombokwahewa #tanzaniaweddings #washkajizangu #fanpage #photooftheday #gainwithxtiandela #beautyuganda #slayers# #huba #yalaiti #simbasportsclub #yanga #azam #juakali

5/19/2024, 11:21:56 AM

Updates: Kiungo raia wa Bukina Faso 🇧🇫 Stephane Aziz Ki amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuendelea kusalia kwenye klabu ya Wananchi . Baada ya maongezi marefu mwamba amekubali kubaki kwa Wananchi !..

5/19/2024, 10:04:29 AM

ANZA NA AZA MASSAGE OIL Ni Mafuta maalumu kwaajili ya masaji ya mwili wako... 🔸Husaidia Kuondoa Uvimbe wa Nje 🔸Maumivu ya Viungo kama vile Mgongo, Kiuno, Miguu, Mikono n.k 🔸Ugonjwa wa Kiharusi na Ganzi katika sehemu mbali mbali za Viungo. 🔸Husaidia Kulainisha Ngozi na Kuondoa Mikunjo 🔸Gono, Kaswende na Kisonono 📌Tiba Asili kutoka AZA kwaajili ya Afya Yako. Tunapatikana Tabata, Dar es Salaam, Tanzania Mawasiliano: 0717 098 892/ 0782 098 892 Social media : AZA Natural Products #aza #asili #dawa #wizarayaafya #afya #eunice #bunge #delivery #azam #fashaz #tanzania #tiktok #tiktokindia #tiktokkenya

5/19/2024, 9:30:12 AM

Size 22 inches, Miaka 8 na kuendelea, 6 speed, Good condition, Bei 240,000/tsh tu, Karibu DM kwa biashara na kwa maelezo zaidi piga/WhatsApp 0683915511 • • @cholobicyclestz • • • #diamondplatnumz #wasafi @cholo_bicyclestz #wasafimedia #wasafitv #milladayo #milladayoupdates #tanzania #zanzibar #cholobicyclestz #gere #jeje #zuchu #kingkiba #tanashadonna #wasafifm #wcb4life #udaku #balozi_business #daressalaam #kondegang #babalao #udakutz @cholo_bicyclestz #hiiniyetusote #bongo5updates #azam @cholo_bicyclestz #tbc #itv #efm #instagram #instagood

5/19/2024, 9:19:00 AM

🚨Kila nikikumbuka ile siku Simba anashangilia kupangwa na Al Ahly kwenye Robo fainali halafu nikija kuangalia Ahly anaenda kumalizia fainali nyumbani akiwa hajafungwa ugenini na Esparence fainali ya Kwanza,napata maswali Simba walitoa wapi sababu na ujasiri wa kushangilia vile. #AzamSports1HD na #AzamSports2HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #SokaLetuBambam #SokaLetuDamdam #YangaSC #mpirawamiguu #tpl #epl #soccer #wasafi #sportsarena #simba #yanga #mpira #diamondplatnumz #sportpesa #fabrizio #sport #azam #wasafitv #wasafimedia #football #premierleague #daimambelenyumamwiko #nguvumoja

5/19/2024, 9:05:21 AM

🇫🇷 Première des trois rassemblées, Retro op det Mess 🇬🇧 First of 3 meetings in a row, Retro op der Mess #citroën #citroen #2cv #azam #1964 #2cvazam #deuche #oldtimer #classiccar #french #artdevivre #sixties #classic #car #pharesjaunes #yellowheadlights #425 #425cc #425ccm #bicylindre #flattwin #aircooled #oldschool #tpv #ente #2pattes #michelin #michelinx

5/19/2024, 9:00:00 AM

HUYU SEMAJI SASA AKAMATWE, AKATIBIWE 😅🔥🔥🔥

5/19/2024, 8:54:49 AM

Size 22 inches, Miaka 8 na kuendelea, 6 speed, Good condition, Bei 240,000/tsh tu, Karibu DM kwa biashara na kwa maelezo zaidi piga/WhatsApp 0683915511 • • @cholobicyclestz • • • #diamondplatnumz #wasafi @cholo_bicyclestz #wasafimedia #wasafitv #milladayo #milladayoupdates #tanzania #zanzibar #cholobicyclestz #gere #jeje #zuchu #kingkiba #tanashadonna #wasafifm #wcb4life #udaku #balozi_business #daressalaam #kondegang #babalao #udakutz @cholo_bicyclestz #hiiniyetusote #bongo5updates #azam @cholo_bicyclestz #tbc #itv #efm #instagram #instagood

5/19/2024, 8:47:14 AM

Kulingana na msemaji wa mnyama Ahmed Ally anasema kuwa miongoni mwa wachezaji waliopo kwenye rada zao ni Aziz Ki hasa ukizingatia mkataba wake pale Yanga unamalizika mwisho wa msimu huu huku akidai kuwa amegoma ku sign kandarasi kwa kuwa anahitaji malisho mema na malisho mema yapo Simba sports club hivyo kwao itakua rahisi tu kumchukua, Kama Simba wakifanikiwa kumchukua Aziz Ki msimu watakuwa wameweza kutatua baadhi ya matatizo yao kwa kiwango gani?

5/19/2024, 7:57:15 AM

Into the final @azamfcofficial — proud of the entire team. Let’s go for it. 🇹🇿🏆 Thank you God. Alhamdulillah. 🙏🏽🇬🇭 #WeAreAzam I #Azam | #Alhamdulillah

5/19/2024, 12:51:18 AM

Con nuestro Yeison Fuentes ('02) en cancha los 90' y destacada actuación, @azamfcofficial venció 3-0 a #CostalUnion y jugará la gran final de la #FederationCup de 🇹🇿 Primer título que disputará nuestro defensor central, que llegó en enero al club y se ha consolidado como el bastión de la defensa ⚔️🛡️🔥 Felicitaciones Capi ¡Vamos por el título! @yeisonf02 🔝👊👏 @azamfcofficial @posso.futbol @lfposso #azam #azamfc #daressalaam #tanzania #copa #cup #federation #yeisonfuentes #final #golombianos #SEGUIMOSCAMBIANDOVIDAS

5/19/2024, 12:51:03 AM

Garment of #marginalia as part of the presentation: " Klänge ": sound improvisation inspired by the poems of Vassily Kandinsky. With Catherine Jauniaux (voice and texts), Amanda Gardone (double bass) , Ephia Gburek (dance) and Sébastien Bouhana (percussion). Ephia Gburek @ephiagburek is the one wearing the garment (the inside top). Thank you very much! #Azam/Ainsley exhibition. May 4, 2024. #marginaliainthestreet

5/18/2024, 10:49:57 PM

Babar Azam and Rizwan made new bats for T20 World Cup https://cricket-worldcup.online/babar-azam-and-rizwan-made-new-bats-for-t20-world-cup/ #babar #azam #and #rizwan #made #new #bats #for #t20 #world #cup #bongomovie #love #fun #nature #cricket #india #tea #teambasir #baghdad #ashif #batman #eventmanager #africanmovie #instagram #instagood #all #bat #ipl #rodiesrealheros

5/18/2024, 9:59:29 PM

Afisa Habari wa Klabu ya Simba Ahmed Ally ameweka wazi kuwa Klabu hiyo ipo kwenye mbio za kumsajili Kiungo Mshambuliaji wa Klabu ya Yanga Aziz Ki na Kiungo Mshambuliaji wa Klabu ya Azam Feisal Salum. Aidha, amesema kuwa Klabu ya Yanga inaficha ukweli kuwa kiungo Aziz Ki amegoma kusaini Mkataba mpya Klabuni hapo na anataka kwenda Klabu nyingine ambapo Simba wameona waanze kumtafuta.

5/18/2024, 9:19:45 PM

Kinachosubiriwa na Yanga ni kutoa Statement hii👇 “Aziz Ki is here to stay” Vyanzo vyangu vya kuaminika vimeniambia tayari Aziz amesaini mkataba mpya na Yanga.

5/18/2024, 9:18:29 PM

18-12-23 @9PM. #azamofficials #azam #azamrecords

12/16/2023, 5:32:16 AM

19-11-23 @ 11AM. #azamofficials #azam #azamrecords

11/13/2023, 5:06:12 PM

14th April is the date 🎵🎵🎶 #youtubemusic #youtube #azamofficials #azam #azamrecords

4/6/2023, 11:34:29 AM