KIKOSICHAMIZINGA images

Discover Best KIKOSICHAMIZINGA Images of World

#food #travel #sports #news #may #tuesday

#Mybrother #teddyboy #gentlemen #M.A.KTOTHEWORLD #KIKOSICHAMIZINGA

5/1/2024, 3:20:45 AM

#Mybrothers #ATeam #kikosichamizinga

9/10/2023, 8:01:59 PM

#throwback to the number nine #nganya that was my teen time, back when I was walking with a mean rhyme. mic in my right hand, a mean time! #kenya #nairobi #kikosichamizinga

8/31/2023, 2:59:15 PM

#kikosichamizinga

6/14/2023, 3:26:54 PM

Bin Said,Majembe,Horuma,Jumayo kumbukeni huyu jamaa nae anatafuta hela kama nyie.Mkimuomba akawanyima basi mmusamehe msianze kuitukama Taasisi anayoiongoza ili Awaite awanyamazishe yeye sasa kachoka atawalekeza kwa Bugati tu awasanue🤣🤣🤣🤣🤣 #KikosiChaMizinga

4/11/2023, 11:32:58 AM

Mtu mzima @kalapina #KikosiChaMizinga alooo sopoa ani #MuzikiNaUbabe ukizingua unachezea vitasa Shout kwake huyu mwamba @kalapina kaokoa vijana wengi waloathirika na madawa ya kulevya pale #sobahouse #bagamoyo Tuko tu hapo #CocoBeach #Mihogofestival2022 @wacloudsania Cc @cloudsfmtz @cloudstv 🔥🔥🙏🙏

8/29/2022, 8:54:51 AM

Ulikuwa wapi wakati wa kikosi cha mizinga? 😃 #tbt #bongofleva #kikosichamizinga Reposted from @old_bongofleva Kutoka Block 41 Kinondoni Karama Masoud @kalapina na kikosi cha mizinga Goma linakwenda kwa Jina la Mstari wa Mbele Front line Mwaka 2005 chupa la goma hili lilitoka takribani miaka 17 😂😂watoto mtatusamehe hamtoelewa mbilinge za Kikosi cha mizinga hao watu walikuwa kama umeme usijichanganye ukawavuruga watakuvuruga kweli kweli

8/4/2022, 5:26:24 PM

wabishi wa dar na cipy bundala , movement #kikosichamizinga #tv3

6/21/2022, 3:48:12 PM

Ma home boy Ngumu when he has vibe #Kilimanjaro #daresalaam #arusha #mwanza #morogoro #dodoma #kikosichamizinga #mbeya

4/23/2022, 4:26:15 PM

Military boot ❌SOLD OUT❌🔥👂 -Size; 9/43 -Price (Bei)- 135,000/= -Call 📞 & WhatsApp +255757549657 -Location; mlango mmoja, Mwanza 🇹🇿 @bakina_thegreat_store "We make you classic"💥 . . . . . . . . #mtumba #mtumbagrade1👌 #buti #viatu #jkt #jwtz #policetanzania #jeshilapolisi #kikosichamizinga #zanzibar #pemba #unguja #pwani #daressalaam #arusha #kasulu #mwanza #manyara #rockcity #mbeya #kagera .

4/14/2022, 10:22:39 PM

binafsi huyu brother ni kati ya ma brother ambao na waelewa kupita kiasi.. natamani siku moja atuzawadie ngoma moja tuu .. ili wajue .. kwanini nasema namuelewa kupita kiasi... #kikosichamizinga #block41

12/21/2021, 6:14:19 PM

#Dayones #kikosichamizinga

10/23/2021, 9:52:33 PM

.. .. .. oi wanangu #NabiiKoko @kalapina amePumzika na @megamixyaaboodfm na amefunguka -kuhusu #KikosiChaMizinga. -Vile Game ya HIPHOP inafeli kwasasa na ujio wake wa sasa KUIAMSHA HIPHOP. -Soko la muziki kwasasa hasa ALBUM , na mengine mengi. .. .. .. Cc @aboodmediatz

9/16/2021, 6:28:03 PM

Reposted from @abekidunda .. .. .. oi wanangu #NabiiKoko @kalapina amePumzika na @megamixyaaboodfm na amefunguka -kuhusu #KikosiChaMizinga. -Vile Game ya HIPHOP inafeli kwasasa na ujio wake wa sasa KUIAMSHA HIPHOP. -Soko la muziki kwasasa hasa ALBUM , na mengine mengi. .. .. .. Cc @aboodmediatz

9/16/2021, 6:27:35 PM

.. .. .. oi wanangu #NabiiKoko @kalapina amePumzika na @megamixyaaboodfm na amefunguka -kuhusu #KikosiChaMizinga. -Vile Game ya HIPHOP inafeli kwasasa na ujio wake wa sasa KUIAMSHA HIPHOP. -Soko la muziki kwasasa hasa ALBUM , na mengine mengi. .. .. .. Cc @aboodmediatz

9/16/2021, 6:01:42 PM

Presents WAZARAMO Artist: @kalapina #fullvideolinkinbio #kikosichamizinga (2021) Baobab Studio Tz

9/9/2021, 3:57:23 PM

Presents WAZARAMO Artist: @kalapina #linkonmybio #kikosichamizinga (2021) Baobab Studio Tz

9/9/2021, 3:50:06 PM

UNAKUMBUKA MSTARI WA MBELE? Hii Hapa mpya kutoka kwa mkongwe wa hip hop Afrika mashariki , Muasisi wa #KIKOSICHAMIZINGA @kalapina #WAZARAMO ..

9/8/2021, 8:00:43 PM

#Woof Music Official Music Video drops kesho @ 4:20pm #kenyanhiphop #eastafricanhiphop #Kikosichamizinga #behindthescenes 💯 🔥 ya kuotea mbali.... go get the strap Real Hip Hop flava.....

9/7/2021, 10:32:44 PM

WAZARAMO Wameshapanda Kichwani @kalapina @saidsidaz @khazav @bin_suud_ Bully @baobab.studio_ KIKOSI CHA MIZINGA Graffiti by @kingston_bagamoyo #kikosichamizinga #seriousmanizzle #bongohiphop #tanzania🇹🇿 #bagamoyo

8/28/2021, 8:12:56 PM

. . Tutakuwekea Youtube uone yote @jabirsalehtherealest aliyomuuliza @kalapina . Kalapina na #KikosiChaMizinga walivuma sana hasa kwa utata, walikuwa hawagusiki hawa. . #TheClassicEFM

7/31/2021, 5:40:20 PM

Let me take you to the way back hip hop movement #beef #kikosichamizinga @kimyakimani @josmwanahapa , hii iwafikie machizi hip hop wote kokote walipo @barakaelisamson

7/31/2021, 5:31:22 PM

Hip mean knowledge hop mean movement #kikosichamizinga @raschidu wabishi wa dar coming soon

6/24/2021, 2:19:04 PM

××× Ati Firirinda imeduu.....??! 😅××× 💥📍⁉️🔇🌿🌴🥱‼️💦📵😜 #tgifridays #mood #ElWabah #kikosichamizinga #TheSavageNextDoor #MYV

2/26/2021, 6:27:15 AM

Those lovely days of our Musik journey. Makarani meet Block 41 #kikosichamizinga #hiphop #seroiusmanizzle #kinondoni #bagamoyo #kalapina

1/29/2021, 9:21:15 PM

Aibu sigara nyundo jumaa kareem waungwana ni mwendo wa mandi aka ndima fegi nyundo #kikosichamizinga

1/22/2021, 11:53:43 AM

#INDETAILS, (REPOST); KUTOKA KINONDONI MWAKA 98; ✍️ Na YuST0 BaRNaBa. Kutoka Kinondoni Dar es Salaam Tanzania. Kundi Moja Kubwa Sana Liliundwa. Ni Kikosi Cha Mizinga. Ni kundi Lililofanya Muziki Aina ya Rap Pamoja Na Hip Hop. Mwaka 1998 Kundi Hili Ndo Lilikuwa Limeanza Anza Kupiga Kazi Mbalimbali Katika Studio Za 41 Records. Ni Kundi Lililoundwa Na Wasanii Mahiri Katika Fani Hii Ya Muziki Wa Hip Hop nchini Tanzania. Akiwemo Kinara wa kundi hilo Ambae Pia Ni Rapa, Karama MASOUD almaarufu Mulla, Kubwa Lao, Ama Kiboko Ya Mabitozi. Zaidi ya Muziki Wa Hip Hop, Kundi Hilo Lina Familia Na Ukwasi Mkubwa Wa Wasanii Wa Fani Mbalimbali. Baadhi Ya WanaMuziki wa Kundi Hilo Ni Gwalu Fukuda, Suma Lago, Bekham, MsemaKweli, Chatu Rage, na mwanadada Mau. Kikosi Cha Mizinga, Kama Makundi Mengine Dhima Yao Ilikuwa Sio Kwenye Muziki Tu. Waliweza Kueleza Ukweli Na Kuchangia Kwenye MAENDELEO Ya Jamii. Lilijihusisha Pia Na Harakati Za Kupambana Na Matatizo Yaliyokuwa Yanaikabili Nchi Ya Tanzania Kama Vile Ufisadi, Madawa Ya Kulevya, Na Uvunjifu Wa Haki Za Binadamu. Katika Kazi Zao Mbalimbali Waliwahi Pia Kufanya Kazi na Wasanii Mbalimbali Nje ya Kundi Lao Akiwemo Imam Abbas, Rado Na Mnyama wakuitwa Jay Moe. ASANTE. #yubandoupdates🇹🇿 #music #hiphop #HardCore #hard #bongohiphop #kikosichamizinga

12/21/2020, 6:49:03 AM

Reposted from @efmtanzania ALBUM YA HAWATUWEZI HAIJATOKA. . #Hawatuwezi ndio #ClassicJam iliyosikika kwenye #TheClassicEFM. . @lordeyesmweusi amemuambia @jabirsalehtherealest kwamba hiyo #Hawatuwezi ilikuwa na mistari iliyolekezwa kwa #KikosiChaMizinga. Enzi zile kuna uhasama kati ya Kikosi Cha Mizinga kutoka Dar, na vijana toka Arusha. . Eyes pia aliongeza kwamba #Hawatuwezi ni wimbo wake ambao aliamua kuwapa #Nako2Nako ili uwekwe kwenye #Album, na hiyo Album bado haijatoka. . Endelea kusikiliza #TheClassicEFM

12/6/2020, 11:53:24 AM

Reposted from @efmtanzania ALBUM YA HAWATUWEZI HAIJATOKA. . #Hawatuwezi ndio #ClassicJam iliyosikika kwenye #TheClassicEFM. . @lordeyesmweusi amemuambia @jabirsalehtherealest kwamba hiyo #Hawatuwezi ilikuwa na mistari iliyolekezwa kwa #KikosiChaMizinga. Enzi zile kuna uhasama kati ya Kikosi Cha Mizinga kutoka Dar, na vijana toka Arusha. . Eyes pia aliongeza kwamba #Hawatuwezi ni wimbo wake ambao aliamua kuwapa #Nako2Nako ili uwekwe kwenye #Album, na hiyo Album bado haijatoka. . Endelea kusikiliza #TheClassicEFM

12/5/2020, 12:56:01 PM

ALBUM YA HAWATUWEZI HAIJATOKA. . #Hawatuwezi ndio #ClassicJam iliyosikika kwenye #TheClassicEFM. . @lordeyesmweusi amemuambia @jabirsalehtherealest kwamba hiyo #Hawatuwezi ilikuwa na mistari iliyolekezwa kwa #KikosiChaMizinga. Enzi zile kuna uhasama kati ya Kikosi Cha Mizinga kutoka Dar, na vijana toka Arusha. . Eyes pia aliongeza kwamba #Hawatuwezi ni wimbo wake ambao aliamua kuwapa #Nako2Nako ili uwekwe kwenye #Album, na hiyo Album bado haijatoka. . Endelea kusikiliza #TheClassicEFM

12/5/2020, 12:40:54 PM

2pac Shakur msanii bora zama zote hakuna wa kumlinganisha nae duniani ataendelea kubaki katika mioyo yetu daima msanii alie iweka hip hop kwenye ramani ya dunia nzima !! #kikosichamizinga @haneo255

5/25/2020, 5:52:37 PM

Wimbo gani unadhani umekulia MB zako nyingi za Youtube ?! Mimi I must say ni TUNASONGA wa #KikosiChaMizinga Hashim Dogo na Kalapina at their best. Ukiwa na Buku tu, @tigo_tanzania wanakupa MB 750 ambazo unaweza kusikiliza sio tu wimbo mmoja bali hata album nzima ya KISIMANI by @wakazimusic (Check our my Youtube channel #WakaziMusic) huo ndio Ujanja na #UjanjaNi huo !! 🙌🏾

3/12/2020, 10:01:25 AM

Brand kubwa sana chata kubwa sana ,tunapendeza na brand zetu hivi ndio sie hufanya #kikosichamizinga chama kubwa sana ,t-shirt zinapatikana we nicheki tu @mekillergego

2/17/2020, 12:21:22 PM

Mwanangu juma mashoto kapendeza kinoma na brand kubwa #kikosichamizinga kazi zipo ukitaka kupendeza Kama hivi ujanja ni kuvaa logo zetu tu na ukivaa unakalisha popote pale!!

12/14/2019, 7:52:32 PM

#Bongohistory🎶 Hii ndio historia ya mziki wa Bongo flava na sababu za Makundi kuvunjika. . . Ukizungumzia Mafanikio ya Mziki wa bongo flavor basi lazima utazungumzia asili ya Mziki wa Bongo flavor, Wapi ilikotokea, Wafuasi wake na zipi sababu za Makundi ya Bongo flavor kuvunjika. . . Mnamo katikati miaka ya 1990(in the mid of 1990's) Jijini Dar es Salaam, Mziki wa Bongofleva ndio ulianza rasmi nchini Tanzania japokuwa aina zake zingine za Mziki kuonekana zao la mitindo maarufu ya Mziki kutoka Marekani "Hip hop" huku ikijumuisha blues,Afro beat na Dance hall vile vile Mziki wa wazawa wa Tanzania kama vile Taarab( mziki wa mwambao) na mziki wa dansi kipindi hicho mziki wa kenya ukiitwa #GENGE. . . Wawakilishi wa Mziki huu kipindi cha hapo Mwanzoni inajumuisha #GangweMob, #Hardblastets na #X-plastaz. Historia ya Mziki iliendelea mnamo katikati ya miaka 1990 Mpaka wasanii walipoanza kutoa album huku historia ikishikiliwa na Msanii nguli wa hiphop Joseph Mbilinyi(47) Mbunge wa Mbeya Mjini, Maarufu kama "Mr II sugu"na kuwa msanii wa kwanza kutoa album ya hiphop ambayo aliiachia mwaka 1995 inayoitwa "Ni Mimi" mpaka alipojiunga na Lebel ya Mziki ya "Deiwaka". . . Historia ya Mziki wa Bongo flavor iliendelea mpaka kufikia Mwaka 2002 ambapo makundi ya Mziki kutengenezwa kama vile #ChembaSquad, #Watengwa, #Wateule, #wachujanafaka, #GhetoBoys, #ClainTng, #DazNundaz, #2berry, #HbC, #ECT, #Wakalikwanza, #Tiptopconnection, #Topband, #watupori, #GangweMob, #TMK, #Manyemafamily, #Kikosichamizinga, #Rivercampsoldier, #Solidgroundfamily #Nako2NakoSoldiers... huku Mziki wenye kuzungumzia Mapenzi kuanza kupendwa Mtaani ukiwajumuisha Dullysykes,Q chief,Lady j dee, Enika,k-lyn, Bushoke,Mb dog,Mad ice, TID,Banana zoro, Ray C, Bizman,Matonya,Abby Skills,Mr blue,K basil,Bob rudala... . . Nini chanzo cha Makundi kuvunjika, Je? Chuki( beef) zilichangia vipi kuukuza mziki wa bongo flavor na Upi mchango wa bongo flavor kupunguza tatizo la ajira kwa vijana Tanzania. Tukutane Session 2 @feboy_updates @officialfeboy #Let'smoveE-updates #TheswitchisonNow#HappyIndependenceday(58)

12/9/2019, 6:30:43 AM

#MjeshiHarakati #kikosichamizinga @kalapina

10/27/2019, 11:39:28 AM

@kalapina #kikosichamizinga #MjeshiHarakati

10/26/2019, 9:10:04 AM

Hip hop movement #kikosichamizinga represent dsm !! Masnitch wamezagaa

10/17/2019, 7:00:16 PM

Kundi la muziki la #KikosichaMizinga linaloongozwa na @kalapina walikuwa ni watu wa matukio sana hasa ya kigomvi kwa wasanii wenzao, HZB imepiga story na @kalapina na kueleza sababu za kuwazingua wasanii hao na story nyingine nyingi kuhusu muziki wa Bongo Fleva na Hiphop ya Bongo. Bonyeza link Bayo uteleze YouTube kuichek. #harakatizabongo #HZBTV #HZBMedia #macdigitalmediatza @macautoxpressgarage

6/7/2019, 10:09:33 PM

Confirmed for "Mi A Di Best" - 26th April 2019. Event that can never be ignored. Booom!!! 💥💥 Mtwa Rifle - A conscious youth with sharp lyrics in his music. 🇹🇿 @mtwa_rifle @gotta_irie @jamriddimix #KinOndonYard a.k.a #BigDawgPose #DirtySouthDawgz #RevolutionTerrors #KikosiChaMizinga #KinoKlein #KinoMass #WanyamweziMassive #BOBclick 💚💛❤

4/20/2019, 8:44:25 AM

HISTORIA ITAJIREJEA TUKUTANE JUMATATU 22.04.2019 REAL KIDS FC VS MAPEMBEANI ACCADEMY @realkidsfc_2011 - 🔥🔥🔥🔥 #kikosichamizinga

4/19/2019, 11:17:03 AM

Rip to Ruge Mutahaba wa Clouds Fm Dar es Salaam, Tanzania. You were a great positive influence among the youth of Tz. Rest In Peace man. My prayers go out to his family, Clouds Media Group and Tanzania as a whole. Pigo kubwa sana. @cloudsfmtz #kikosichamizinga

2/27/2019, 7:48:53 AM

Kikosi cha mizinga mpo?😄 #kikosichamizinga.

2/7/2019, 8:34:23 PM

Ni kikosi cha mizinga tunaishi hip hop tuna vaa hip hop !! Mzigo upo watu wangu tshirt zipo na kofia usijiweke nyuma nyuma njoo upendeze ingawa huyu kavaa rangi ya simba kanikera kidogo! Ila amependeza sana #killdembuttboy #hiphopfestival #kikosichamizinga

12/18/2018, 11:02:31 AM

Mzigo ndo huo !! Tshirt ,Tshirt vaa kijanja brand Kubwa mizinga #kikosichamizinga

12/16/2018, 6:26:22 AM

Kaz kaz zile nguo mlizo kuwa mkizisubiria ndio hizi sasa zimeingia Kwa bei nafuu mno Tshirt moja Kwa mpunga Wa buku 25 tu vaa brand Kubwa brand ya nyumbani!! #kikosichamizinga #tzhiphopfestival2018

12/13/2018, 8:33:28 AM

Kikosi cha mizinga hip hop crew mambo yana zidi kuwa fresh tumewaletea Tshirt za kijanja high quality mzigo ndio kwanza umeingia wahi Tshirt yako utamaduni Wa hip hop unaendana na mavazi vaa hip hop ishi ki hip hop wa mikoani ukitoa order mzigo unakufikia ulipo haya sasa!! #boombyebye #tzhiphopfestival2018 #kikosichamizinga

12/12/2018, 6:09:50 AM

With hip hop legendary, my brother from another mother getting some tea #ThanksGoD #kikosichamizinga #hiphop #mzeewaharakati @kalapina @kenycrux

12/8/2018, 9:17:10 AM

Tujikumbushe #hiphopfestival #hiphopfestival #hiphopfestival , kuna watu hawapendi kuuona huu mchongo ukitusua ila niwaahidi wanga Na wachawi mchongo huu utaendelea kuwepo we won't stop ! #kikosichamizinga

12/4/2018, 11:09:04 AM

Kill dem bati bway Bunju bantom ana kwambia boom bye bye ina bati bway iee bati bway mana yake ni machoko! ,ukweli juu ya uongo haki dhidi ya batili hip hop hata dini pia INA tutaka tukemee machoko Na wote wanao ibania hip hop #staytune4hiphopfestival #kikosichamizinga #nabiicoco ,hakuna kiande representing the city of dsm

11/23/2018, 2:08:41 PM

#kikosichamizinga ngoma mpya #nawacheka @kalapina @mauemy @imam9abbas

8/18/2018, 6:01:24 AM

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt John Pombe Magufuli akiongoza waombolezaji katika msiba wa Major General Joseph Anaeli Luselie #kikosichamizinga

8/17/2018, 5:12:41 PM

Rest In Peace General. Uzalendo wako kwa Taifa umeutendea haki. Taifa litakukumbuka kwa Mengi tangu Vita vya idd Amin hata Sasa. Pumzika kwa amani, Mwendo umeumaliza. #kikosichamizinga

8/17/2018, 11:44:03 AM

Umenichekesha zaidi ya miaka thelathini yaani tangu nazaliwa unanipaga mzuka tuu leo umenikata wenge kwa kunihuzunisha miaka ya kutosha Daa upumzike kwa Amani Dingi langu la Ogde #mkuu #kingmajuto #mzeemwenye #mkaldayo Mungu akupokee patakatifu pake Daaa dingi ariff... #kikosichamizinga

8/9/2018, 7:44:12 AM

Ukiona hivi jua wana wana sheherekea ushindi !!! Tuombe uzima inshaalah #kikosichamizinga #nawacheki

8/3/2018, 11:34:22 AM

Live without excuses and travel without regrets.... #Washikadau #Kikosichamizinga

7/14/2018, 12:47:23 PM

🎧🎤📡📻💥🔥 WEEKEND SPECIAL!! Spice FM 97.7 Zanzibar! #KikosiChaMizinga!! @kalapina @kalapina @kalapina

4/22/2018, 6:36:03 PM

Fbf.Chilling with Kimya.Bamboo's Brother. Sippin that triple distilled red label #Ksouth, #kikosichamizinga

4/6/2018, 12:37:16 PM

#way 🔙 #kikosichamizinga #nimkane mwenyezi mungu binadamu ni nini utanisaidia? @mauemy @kalapina

2/16/2018, 6:17:13 PM

Leo kupitia #ZeroPlanet @gamideetz anapiga stori na @kalapina kuhusu #WatuWasiojulikana #KikosiChaMizinga na inshu za madawa ya kulevya

9/13/2017, 12:50:45 PM

#OnAir 99.5 @icefmtz #Zeroplanet Leo nakusogeza na @kalapina anashea na sisi kuhusu #WatuWasioJulikana #KalaPinaFoundation pamoja na wapi #KikosiChaMizinga kilipo #utulie_utulieeeee #support_tusongeeeee

9/13/2017, 12:24:35 PM

#KikosiChaMizinga #Baridiikariiiiiiiiiii!!!!!!!

8/31/2017, 7:01:39 PM

#reminiscing Stuck in the middle of #SerengetiNationalPark. I was part of the shooting crew for #natgeo featured documentary! #AnimalFightNight. #SoundTrack @kalapina #kikosichamizinga. Watch my version on #KabellergeShow Link on my bio👆 #MaktedisTV #serenahotel

8/5/2017, 8:38:03 AM