BeliverYourSelf images

Discover Best BeliverYourSelf Images of World

#food #travel #sports #news #may #friday

****** VICTORY VICOBA ENDELEVU Hichi ni kicoba ambacho kipo chini ya taasisi yetu buta vicoba endelevu na ni kicoba ambacho kinakutana kila week mara moja tu siku ya alhamisi saa kumi kamili pale makao makuu ya buta vicoba. Victory vicoba endelevu ni kicoba ambacho kimefanikiwa kuwa na maradi wa bodaboda 8 aina ya boksa kama mradi wa kikundi chetu….. ambao huo mradi tumefungua account nyingine ya crdb bank marejesho yote ya kila week kupitia hizo bodaboda nane zinaingia uko. Wakati zile hisa za wanachama, jamii na bima, na marejesho zinaingia kwenye account ya nbc ili kutochanganya mahesabu yetu. Hizo ni baadhi ya bodaboda ambazo tumefanikiwa kununua mwezi wa mwezi kama mradi wa kikundi chetu lakini tumeweza kutoa ajira kwa watu 8 vijana ambao wanaziendesha. #MaamuziYakoNdioMafanikioYako #KazaButiKomeshaUmasikini #HakunaKukataTamaa #BeliverYourSelf #KeepMoving #KeepPushing

5/15/2024, 12:15:45 PM

***** *HIZI HAPA RIPOTI ZA KILA WEEK ZA MWEZI WA NNE ZA KICOBA CHETU CHA VICTORY VICOBA ENDELEVU TUNAKUTA KILA WEEK MARA MOJA TU SIKU YA ALHAMISI SAA KUMI KAMILI PALE MAKAO MAKUU YA BUTA VICOBA YALIYOPO BUNJU “A” HISA YETU MOJA INAANZIA ELFU 20000/= ILA UNAWEZA KUWEKA KADRI UNAVYOWEZA, JAMII INAANZIA ELFU 5000/= NAYO UNAWEZA KUWEKA KADRI UNAWEZA NA BIMA NAYO INAANZIA ELFU 5000/= NAYO UNAWEZA KUWEKA KADRI UNAVYOWEZA KWA HIYO KIMA CHA CHINI KISIPUNGUE ELFU 30000/= #MaamuziYakoNdioMafanikioYako #KazaButiKomeshaUmasikini #HakunaKukataTamaa #BeliverYourSelf #KeepMoving #KeepPushing

5/15/2024, 8:38:19 AM

***** VICTORY VICOBA ENDELEVU Hichi ni kicoba ambacho tunakutana kila week mara moja tu siku ya alhamisi pale makao makuu ya buta vicoba endelevu bunju A” Hisa moja kwetu inaanizia elfu 20000/= ila unaweza kuweka zaidi, Jamii inaanzia elfu 5000/= ila unaweza kuweka zaidi na Bima inaanzia elfu 5000/= nayo unaweza kuweka zaidi. So kwa week kima cha chini usikose elfu 30000/= #MaamuziYakoNdioMafanikioYako #KazaButiKomeshaUmasikini #HakunaKukataTamaa #BeliverYourSelf #KeepMoving #KeepPushing

5/15/2024, 8:23:40 AM

**** HII HAPA *HII HAPA RIPOTI YA KILA WEEK YA MWEZI WA TATU KUANZIA TAREHE 7/3/2024 YA KIKUNDI CHETU CHA “ VICTORY VICOBA GROUP” TUNACHOKUTANA KILA IJUMAA YA WIKI SAA KUMI KAMILI JIONI JUMLA YA HISA= JUMLA YA JAMII= JUMLA YA BIMA= JUMLA YA MAREJESHO= JUMLA YA FAINI= JUMLA YA MAAFA= NB kila week tuliyokutana ya mwezi wa 3 ina ripoti yake ya makusanyo ya jumla hisa zote, jumla ya jamii zote, jumla ya bima zote, jumla ya maafa yote na juml ya marejesho yote na jumla ya faini zote #MaamuziYakoNdioMafanikioYako #KazaButiKomeshaUmasikini #HakunaKukataTamaa #BeliverYourSelf #KeepMoving #KeepPushing

5/14/2024, 7:41:52 AM

VICTORY VICOBA ENDELEVU Hao ni baadhi ya wanachama ambao ambao wako kwenye kicoba chetu cha victory vicoba endelevu ambao tunakutana kila week mara moja tu pale bunju A” Buta vicoba endelevu. Victory vicoba endelevu ni kicoba ambacho hisa moja tunanunua elfu 20000/= unaweza kuweka zaidi, jamii inaanzia elfu 5000/ = nayo unaweza kuweka zaidi, bima inaanzia elfu 5000/= nayo unaweza kuweka zaidi 🙌 so kwa week kima cha chini kisipungue elfu 30000/= Kwasasa victory vicoba endelevu kiingilio ni laki moja 100000/= na unatakiwa ulipe chote wakati unataka kujiunga na victory vicoba endelevu🙌 #MaamuziYakoMafanikioYako #KazaButiKomeshaUmasikini #HakunaKukataTamaa #BeliverYourSelf #KeepMoving #KeepPushing

5/14/2024, 7:24:59 AM

******** VICTORY VICOBA ENDELEVU Hii ni ripoti ya makusanyo ya kicoba chetu cha victory vicoba endelevu ya kila week ya mwezi 2 kinachokutana kila week mara moja tu siku ya alhamisi saa kumi kamili jioni pale makao makuu ya buta vicoba endelevu pale bunju “A” Victory vicoba endelevu hisa moja inaanzia elfu 20000/= unaweza kuweka kadri unavyoweza wewe, jamii inaanzia elfu 5000/= nayo unaweza kuweka kadri unavyoweza na bima nayo inaanzia elfu 5000/= unaweza kuweka kadri unavyoweza wewe so kwa week kima cha chini kisipungue chini ya elfu 30000/= Mpaka sasa victory vicoba endelevu nje na hela za hisa, jamii na bima tuna mfuko wetu wa uwekezaji ambao kupitia mfuko wa uwekezaji tumefanikiwa kununua bodaboda 8 mwaka huu kwa kama mradi wa kikund. #MaamuziYakoNdioMafanikioYako #KazaButikomeshaUmasikini #HakunaKukataTamaa #BeliverYourSelf #KeepMoving #KeepPushing

5/13/2024, 1:49:57 PM

***** USIBADILI TABIA YAKO KWA MAISHA YA KUIGA MAANA HUALISIA WAKO NDIO UTAMBULISHO WAKO 🙌🙌🙌🙌🙌 HATA KAMA JAMII ITATUHUKUMU KWA KWA MADHAIFU NA MAKOSA YETU BADO KWETU UNYENYEKEVU NI MALEZI NA ASILI KAMWE HATUWEZI KUIGIZA 🙌 #MaamuziYakoNdioMafanikioYako #HakunaKukataTamaa #BeliverYourSelf #KeepMoving #KeepPushing

5/12/2024, 12:59:06 PM

******** ALHMADULILLAH KAMWE USIBADILI TABIA YAKO KWA MAISHA YA KUIGA MAANA UHALISIA WAKO NDIO UTABULISHO WAKO. HATA KAMA JAMII ITAKUHUKUMU KWA MAKOSA YETU NA MADHAIFU YETU BADO KWETU UNYENYEKEVU NI MALEZI NA ASILI KWENYE HATUWEZI KUIGA 🙌 #MaamuziYakoNdioMafanikioYako #KazaButiKomeshaUmasikini #HakunaKukataTamaa #BeliverYourSelf #KeepMoving #KeepPushing

5/11/2024, 12:25:11 PM

****** ALHAMDULILLAH ENDELEA KUIJALI, KUIPENDA, KUITUNZA NA KUIOMBEA KAZI YAKO JITAIDI USIIACHE KABLA UJAPATA KAZI NYINGINE NI BORA UPOKEE MSHAHARA MDOGO KULIKO KUWA OMBAOMBA KWA WASHIKAJI ZAKO AU MTAANI KWAKO 🙌 #MaamuxiYakoNdioMafanikioYako #KazaButiKomeshaUmasikini #HakunaKukataTamaa #BeliverYourSelf #KeepMoving #KeepPushing

5/11/2024, 7:29:01 AM

****** ALHAMDULILLAH HUWA TUNAKUTANA NA WATU KWENYE MAISHA YETU KWASABABU MAALUMU WENGINE HUJA KAMA BARAKA WENGINE HUJA KAMA FUNZO. #MaamuziYakoNdioMafanikioYako #KazaButiKomeshaUmasikini #HakunaKukataTamaa #BeliverYourSelf #KeepMoving #KeepPushing

5/10/2024, 9:08:58 AM

****** ALHAMDULILLAH SIKU ZOTE HUWA TUNAKUTANA NA WATU MAISHANI MWETU KWASABABU MAALUMU WENGINE HUJA KAMA BARAKA NA WENGINE HUJA KAMA FUNZO 🙌 #MaamuziYakoNdioMafanikioYako #KazaButiKomeshaUmasikini #HakunaKukataTamaa #BeliverYourSelf #KeepMoving #KeepPushing

5/8/2024, 12:24:06 PM

****** ALHAMDULILLAH NI VYEMA UKIWA HAI UFANYE MAMBO YAKO BILA KUJALI MAMBO YA MTU MWINGINE KWASABABU SIKU UKIONDOKA YAANI UMAUTI UKIKUFIKA WATU HUWA WANAENDELEA NA MAMBO YAO KAMA HAKUNA KILICHOTOKEA 🙌 #MaamuziYakoNdioMafanikioYako #KazaButiKomeshaUmasikini #HakunaKukataTamaa #BeliverYourSelf #KeepMoving #KeePushing

5/8/2024, 7:33:24 AM

****** ALHAMDULILLAH MAFANIKIO YA MAISHA NI MAKUTANO YA VITU VIKUU VITATU: MUDA, JITIHADA NA KUDRA 🙌 MUDA NI WA WOTE, JITIHADA NI ZAKWAKO ILA KUDRA NI MAJALIWA YAKE MUUMBA 🙌 #MaamuziYakoNdioMafanikioYako #KazaButiKomeshaUmasikini #HakunaKukataTamaa #BeliverYourSelf #KeepMoving #KeepPushing

5/7/2024, 7:23:58 AM

****** ALHAMDULILLAH WENGINE TUNAVYO VICHACHE VYA FURAHA NDIO MAANA TUKIPATA NAFASI YA KUFURAHI TUNAFURAHI SANA 🙏🏿 #MaamuziYakoNdioMafanikioYako #KazaButiKomeshaUmasikini #HakunaKukataTamaa #BeliverYourSelf #KeepMoving #KeepPushing

5/6/2024, 2:53:23 PM

****** ALHMADULILLAH HESHIMA, NIDHAMU NA UNYENYEKEVU VINAWEZA KUKUFIKISHA SEHEMU AMBAYO JUUDI NA MAPAMBANO AVIWEZE KUKUFIKISHA. #MaamuziYakoNdioMafanikioYako #HakunaKukataTamaa #BeliverYourSelf #KeepMoving #KeepPushing

5/5/2024, 2:47:27 PM

****** ALHAMDULILLAH 🙏🏿 HESHIMA, NIDHAMU, NA UNYENYEKEVU VINAWEZA KUKUFIKISHA SEHEMU AMBAYO JUUDI NA MAPAMBANO AVIWEZI KUKUFIKISHA 🙌 #MaamuziYakoNdioMafanikioYako #KazaButiKomeshaUmasikini #HakunaKukataTamaa #BeliverYourSelf #KeepMoving #KeepPushing

5/5/2024, 11:34:49 AM

******* ALHAMDULILLAH 🙏🏿 Kuna namna mbili tu za kufanikiwa aidha utafute njia au utengeneze njia 🙏🏿 #MaamuziYakoNdioMafanikioYako #KazaNutiKomeshaUmasikini #HakunaKukataTamaa #BeliverYourSelf #KeepMoving #KeepPushing

5/5/2024, 8:15:18 AM

****** HESHIMA, NIDHAMU, NA UNYENYEKUVU VINAWEZA KUKUFIKISHA SEHEMU AMBAYO JUHUDI NA MAPAMBANO HAVIWEZI KUKUFIKISHA. #MaamuziYakoNdioMafanikioYako #HakunaKukataTamaa #BeliverYourSelf #KeepMoving #KeepPushing

5/3/2024, 8:25:32 AM

******* BUTA VICOBA ENDELEVU 🤝 UNAPOAMBIWA BRAND INATENGENEZWA KWA GHARAMA KUBWA USIDHANI GHARAMA YA PESA TU KUNA GHARAMA ZA MUDA, KUTAHABIKA, USITAMANI TU KUWA KAMA. #MaamuziYakoNdioMafanikioYako #HakunaKukataTamaa #BeliverYourSelf #KeepMoving #KeepPushing

5/2/2024, 11:16:07 AM

****** MAN AT WORK UKIWEZA KUMSAIDIA MWANAMKE UNAKUWA UMEISAIDIA JAMII KWASABABU SISI WOTE HAPA DUNIANI TUMEZALIWA NA MWANAMKE. #MaamuziYakoNdioMafanikioYako #KazaButiKomeshaUmasikini #HakunaKukataTamaa #BeliverYourSelf #KeepMoving #KeepPushing

4/30/2024, 7:51:42 AM

******* MAN AT WORK FURAHA YANGU NIKUONA NAKUWA SABABU YA WATU WENGINE KUPIGA HATUA, KUWA WABUNIFU, KUTHUBUTU, KUFANYA ZAIDI YA WALIVYOKUWA WAKIFANYA MWANZO, KUJIFUNZA KUFANYA SAVING, KUJIFUNZA KUWA NA MATUMIZI SAHIHI YA FEDHA NA KUJITAMBUA . #MaanuziYakoNdioMafanikioYako #KazaButiKomeshaUmasikini #HakunaKukataTamaa #BeliverYourSelf #KeepMoving #KeepPushing

4/29/2024, 3:32:12 PM

******* MAN AT WORK MAPEMA JANA NILIPOKUWA MBAGARA KWA WAMAMA WAJASIRIAMALI MAMA LISHE NIWAPA ELIMU YA VICOBA ENDELEVU NA WAACHANE NA VICOBA VYA KUNJA KILA MWAKA NA NDIO VINA SABABISHA HATA UJASIRIMALI WAO KUSHINDWA KUKUA LAKINI LAKINI PIA NIKIWAPA ELIMU YA FEDHA WAJALIBU KUACHANA NA MIKOPO KICHEFU CHEFU NDIO IMEKUWA VYANZO VIKUBWA VYAO PIA KUSHINDWA KUKUWA KIUCHUMI HATA BAISHARA ZAO KUKUWA #MaamuziYakoNdioMafanikioYako #KazaButiKomeshaUmasikini #HakunaKukataTamaa #BeliverYourSelf #KeepMoving #KeepPushing

4/29/2024, 10:26:53 AM

******* MAN AT WORK 🙏🏿 Ninacho amini mimi ni kwamba vicoba sio vibaya mbaya wa vicoba ni wewe ambaye unakuwa umeamua kucheza kicoba lakini hauna elimu ya kutosha kuhusu vicoba? Hauna elimu ya kutosha kuhusu kufanikiwa kwa kutumia kicoba? Kama wamama na baba wakapewa elimu ya kutosha kuhusu vicoba endelevu na wakapata usimamizi mzuri kutoka kwa walimu ambao wana elimu ya kutosha kuhusu vicoba basi hakuna mfumo mzuri wa kufanikiwa taratibu kwa hatua kama vicoba endelevu #MaamuziYakoNdioMafanikioYako #KazaButiKomeshaUmasikini #HakunaKukataTamaa #BeliverYourSelf #KeepMoving #KeepPushing

4/21/2024, 8:02:53 AM

******* MAN AT WORK Usimdharau aliyekuonyesha njia ya kufanikiwa kwasababu umefanikiwa zaidi yake 🙌 Mungu alimyima yeye nafasi ya kufanikiwa Ila akampa maarifa ya kukuongoza wewe. Na uyo uyo ndio mwenye mamlaka ya kuyaondoa kwako na kuyapeleka kwa mwingine #MaamuziYakoNdioMafanikioYako #KazaButiKomeshaUmasikini #HakunaKukataTamaa #BeliverYourSelf #KeepMoving #KeepPushing

4/16/2024, 7:46:56 AM

***** MAN AT WORK 🙏🏿 Mapema jana nilipokuwa mbagara kizuhiani nikifundisha mfumo wa vicoba endelevu namna unagyofanya kazi na utakavyoweza kuwasaidia wao kama wataachana na vicoba vya kuvunja vunja kila mwaka. Ni ngumu sana kuwatoa watu kwenye mfumo ambao walishauzoea na kuamini yaani kuacha kitu alichokuwa anakipenda….. vicoba vya kuvunja ni vicoba ambavyo unapiga hatua tano mbele halafu unaludi hatua moja nyuma lakini pia wanakulazisha kukopa, bado wakikutana unakuja na hela mkononi🤦‍♂️ Lakini sisi vicoba endelevu hela zote zinaweka bank unakuja na slip tu, na ni lazima kila mwisho wa mwezi muheka hazina atoe bank statment ili tuone hela zilizopo bank je ziko salama? Lakini pia vicoba endelevu sio lazima kukopa uku amhacho ni lazima ni kununua hisa kadri unavyoweza na mwisho wa mwaka mwenye hisa nyingi kuliko wanachama wengi ndio atapata faida kubwa so kila mwanachama atapata faida kulingana na hisa zake #MaamuziYakoNdioMafanikioYako #KazaButiKomeshaUmasikini #HakunaKukataTamaa #BeliverYourSelf #KeepMoving #KeepPushing

4/13/2024, 10:15:47 AM

***** RICH AUNTIES VICOBA ENDELEVU 👏👏 Ni kicoba ambacho kinakutana kwa mwezi mara moja tu pale mwenge nyuma ya flat za jeshi mwenge. Kwenye vicoba kuna vicoba wanakutana kila week mara moja na wengine wanakutana kwa mwezi mara moja hii ni kutokana na makubaliano ya wanachama wenyewe. #MaamuziYakoNdioMafanikioYako #KazaButiKomeshaUmasikini #HakunaKukataTamaa #BeliverYourSelf #KeepMoving #KeepPushing

3/31/2024, 3:51:51 PM

***** RICH AUNTIE VICOBA ENDELEVU 👏 Hichi ni kicoba ambacho wanakutana kwa mwezi mara tu na hisa yao moja inaanzia helfu 50000/= na kuendelea, Jamii inaanzia Elfu 10000/= lakini unaweza kuweka zaidi, Bima nayo inaanzia Elfu 10000/= lakini pia unaweza kuweka zaidi so kwa MWEZI kima cha chini unatakiwa usikose Elfu 70000/= Na Mimi ndio mwalimu wao ninayewasimamia na kuwapa mbinu zitakazo wasaidia kufanikiwa kupitia vicoba kwa kuweka hisa nyingi, kufanya miradi ya kikundi, kukopeshana, Faini za kikundi lakini pia viingilio vya wanachama wapya #MaamuziYakoNdioMafanikioYako #KazaButiKomeshaUmasikini #HakunaKukataTamaa #BeliverYourSelf #KeepMoving #KeepPushing

3/31/2024, 10:57:07 AM

***** RICH AUNTIES VICOBA ENDELEVU 👏 Matajiri wangu wapya wa rich auntie ni kicoba ambacho wanakutana kwa mwezi mara moja pale AGGY POINT MWENGE NYUMA YA FLAT ZA JESHI #MaamuziYakoNdioMafanikioYako #KazaButiKomeshaUmasikini #HakunaKukataTamaa #BeliverYourSelf #KeepMoving #KeepPushing

3/29/2024, 11:32:23 AM

****** MAN AT WORK Mwenye neema ya Mungu hata ukimfukuza sehemu ataenda sehemu nyingine kuanzisha kitu kile kile Na mambo yatakuwa safi. #MaanuziYakoNdioMafanikioYako #KazaButiKomesha Umasikini #HakunaKukataTamaa #BeliverYourSelf #KeepMoving #KeepPushing

3/28/2024, 7:23:21 AM

***** MAN AT WORK Mwenye neema ya Mungu hata ukimfukuza sehemu ataenda sehemu nyingine kuanzisha kitu kilekile na mambo yatakuwa safi tu. #MaamuziYakoNdioMafanikioYako #KazaButiKomeshaUmasikini #HakunaKukataTamaa #BeliverYourSelf #KeepMoving #KeepPushing

3/26/2024, 3:59:16 PM

***** MAN AT WORK 🙌 Namshukuru Mungu sana kwa kunitumia Mimi kuwa sababu ya watu wake kufanikiwa katika VICOBA ENDELEVU 🙌 #MaamuziYakoNdioMafanikioYako #KazaButiKomeshaUmasikini #HakunaKukataTamaa #BeliverYourSelf #KeepMoving #KeepPushing

3/26/2024, 6:51:58 AM

****** MAN AT WORK Namshukuru sana MUNGU kwa ajili ya ajii ya mikono yangu kwasababu aijawai kuniacha nyuma au kuniagusha pale ninapokuwa nazungumza. Na huwa napenda kwa kuongea kwa kutumia mikono yangu😂😂 #MaamuziYakoNdioMafanikioYako #KazaButiKomeshaUmasikini #HakunaKukataTamaa #BeliverYourSelf #KeepMoving #KeepPushing

3/25/2024, 9:49:45 AM

******* USHIRIKIANO VICOBA ENDELEVU Ushirikiano vicoba endelevu ni kicoba ambacho wanakutana kila kila week mara moja tu siku ya jumatatu kuanzia saa kumi kamili. Ushirikiano vicoba endelevu wapo wanachama 30 tu mpaka sasa na wameweza kuwa na maradi wa viti ishirini mpaka sasa. #MaamuziYakoNdioMafanikioYako #KazaButiKomeshaUmssikini #HakunaKukataTamaa #BeliverYourSelf #KeepMoving #KeepPushing

3/23/2024, 2:58:37 PM

***** USHIRIKIANO VICOBA ENDELEVU Hichi ni kicoba ambacho kina mwaka mmoja tu wanakutana kila week mara moja tu pale boko chama ccm na mimi ndio mwalimu wao ninayewasimamia kuhakikisha wanatimiza ndoto zao lakini pia kuweza kutatua baadhi ya changamoto katika vikundi…. Kikundi hichi cha ushirikiano vicoba endellevu kimeweza kuwa na maradi wa bodaboda moja pamoja na kununua vitu 20 kama mradi wa kikundi. #MaamuziYakoNdioMafanikioYako #KazaButiKomeshaUmasikini #HakunaKukataTamaa #BeliverYourSelf #KeepMoving #KeepPushing

3/23/2024, 12:39:33 PM

****** MAN AT WORK Furaha yangu nikuona mimi nakuwa sababu ya vijana wezangu wanafanikiwa kutimiza ndoto zao katika maisha yao…. #MaamuziYakoNdioMafanikioYako #KazaButiKomeshaUmasikini #HakunaKukataTamaa #BeliverYourSelf #KeepMoving #KeepPushing

3/22/2024, 12:12:47 PM

***** SISI KAMA TAASISI YA BUTA VICOBA ENDELEVU LENGO LETU KUBWA NI KUHAKIKISHA VIKUNDI AMBAVYO TUNAVISIMAMIA LAZIMA VIWE NA MRADI WA VIKUNDI HILI VIWEZE KUJIONGOZEA VIPATO LAKINI PIA ILI VIWEZE KUINUKA KIUCHUMI. NA KWA KUHAKISHA HILI LINAFANYIWA KAZI KILA BAADA YA MIEZI MITATU LAZIMA VIKUNDI VYETU VINUNUE PIKIPIKI KAMA MARADI WA VIKUNDI #MaamuzYakoNdioMafanikioYako #KazaButiKomeshaUmasikini #HakunaKukataTamaa #BeliverYourSelf

3/22/2024, 7:42:28 AM

****** MAN AT WORK Sio kila anayefanikiwa anafanya kazi kwa bidii na sio kila masikini ni mvivu bali maisha ya siri kubwa kuna namna yake Mungu anaamua 🙌 #MaamuziYakoNdioMafanikioYako #KazaButiKomeshaUmasikini #HakunaKukataTamaa #BeliverYourSelf #KeepMoving #KeepPushing

3/21/2024, 1:03:50 PM

**** UTAISHI KWA AMANI SANA PALE AMBAPO UTAKUBALI KUWA KATIKA MAISHA KUNA WATU LAZIMA WAKUZIDI🙌 RIDHIKA NA UTOSHEKE KWA KILE ULICHOJALIWA NA ALLAH UKILAZIMISHA UTADHALILIKA. #MaamuziYakoNdioMafanikioYako #KazaButiKomeshaUmasikini #HakunaKukataTamaa #BeliverYourSelf #KeepPushing #KeepMoving

3/20/2024, 3:17:32 PM

****** UKIWEZA KUTABASAMU KWENYE SHIDA UNAELEWA NINI MAANA YA MAISHA KWAMBA UWEZI KUPATA DAIMA NA KUKOSA DAIMA #MaamuziYakoNdioMafanikioYako #KazaButiKomeshaUmasikini #HakunaKukataTamaa #BeliverYourSelf #KeepMoving #KeepPushing

3/20/2024, 11:40:17 AM

***** MUNGU AMETUUMBA TULETE MAJIBU HACHA KULALAMIKA 🙌 #MaamuziYakoNdioMafanikioYako #KazaButiKomeshaUmasikini #HakunaKukataTamaa #BeliverYourSelf #KeepMoving #KeepPushing

3/20/2024, 7:21:34 AM

****** CONER BOYS VICOBA ENDELEVU Furaha yangu nikuona vicoba ninavyovisimamia mimi kama mwalimu wao vinakuwa na miradi ya kikundi kwa maana kuwa na vyazo vingi vya mapato hili waweze kupata faida kubwa kama kikundi….. Kiukweli najivunia sana kuwa mwalimu wa vicoba hasa pale ninapoona wanachama wakuwa kiuchumi lakini pia vikundi vinazidi kuwa na miradi ya pamoja. Ongereni sana coner boys vicoba #MaamuziYakoNdioMafanikioYako #KazaButiKomeshaUmasikini #HakunaKukataTamaa #BeliverYourSelf #KeepMoving #KeepPushing

3/19/2024, 4:09:54 PM